Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

Misaada inayopata Israel toka Marekani siyo misaada kama tunayopewa sisi. Marekani inalazimika kupeleka misaada Israel kwa sababu walipa kodi wakubwa kwa maana ya matajiri wakubwa wa Marekani, watunga sera wa Marekani, wataalam wakubwa kwenye taasisi za kisayansi Marekani, ni Waisrael. Waisrael wa Israel wanapokea hela kutoka kwa Waisrael wenzao wa Marekani.

Waisrael wote ni raia pia wa Marekani, unaelewa maana yake nini?

 
Kila Muisrael ni raia wa Marekani. Israel inapokea pesa toka kwa Waisrael wenzao walioko Marekani.

Usidanganyike ukadhani Israel inapokea misaada kama nchi nyingine yoyote ile Duniani. Israel inaongoza Dunia, Huko Marekani, Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, wayahudi mdio waliopo kwenye top positions.

Wayahudi ndiyo watu wanaoaminika kuwa na IQ ya hali ya juu kuliko wengine. Binadamu anayeaminika kuwa ndiye alikuwa na akili ya hali ya juu kuliko wote, Mwanasayansi Eisten alikuwa Jewish.

Waisrael ndio watu wanaoongoza kwa ugunduzi wa kisayansi kuliko Taifa lolote lile
www.israel21c.org/israels-top-45-greatest-inventions-of-all-time-2/

 
Kwani hiyo Israel wana amani waangalie hapa walipata kichapo kizuri 2006

 
Umeandika ya kujifurahisha lakini sidhani kama una elimu yoyote kuhusu Christianity na Judaism.

 
Kwani wote wanaondika maneno ya kiarabu kwenye magari yao ni waarabu?
Cha msingi kila MTU ana Uhuru wa kufanya chochote ilmradi hajavunja sheria
 
Hao wanaoweka bendera ya Israel kwenye hayo nadaladala ni wakuhadi wa Al Shabab, wanafanya hivyo kutafuta kisingizio cha ndugu zao Al Shabab kuja TZ kutega mabomu na kuweka nchi yetu kama Somalia.
 
Karatasi tu au kitambaa kidogo wanaweka, nini kinakukwaza.
 
na ukiwauliza wanatokwa na povu na kutukana mbaya
Maana mi mwenyewe ni mkristo but kuna kitu hakieleweki na watu wanafuata kama mkumbo tu. Kuna jamaa juu kaelezea vzr kuna the government of Israel na kuna taifa LA Israel na kinachoongelewa kwenye bible ni Taifa LA Israel . na government ndiyo satanic na ndio walioitengeneza hiyo bendera na hiyo nyota ni satanic symbol na hilo ndilo shetani alipowazidi ujanja waisrael kama taifa. Anawaongoza bila wao kujijua. Na sisi vilevile bila kujua tunafuata kama upepo we don't think we don't ask. Stupid of us
 
We mwenyewe ushachemka utamuitaje MUngu sir?? Hicho ni cheo cha kibinadamu na ndio maana yupo shoga ambye ni sir.
 
Kwahiyo hata shetani akiipamba Israel Leo nae atabarikiwa!?? Maana kwa jinsi andiko.linavyosema halikuweka mpaka wa nani abarikiwe. Na ndio maana USA ambayo ndio mpango wa shetani kutekeleza satanic missions zake nao wanaisapoti Israel ili watimize mambo yao na MUngu anawabariki pia!??
 
Haa huu uzi wakina
Cc
FaizaFoxy
kahtaan
big SHOW
[emoji2]

waje kuutafuna mapema ha ha ha .. Kama kawa
Wakija huko juu wachangiaji wote wata stop. Manake wanakomalia ile mbaya . mbavu zangu mie
 
kun

nadhani ni kasumba tu kwa baadhi ya wafuasi wa yesu kudhani bendera ya kizayuni ya israeli inawakilisha israel ya ndani ya biblia takatifu. israel ya leo ni nchi ya mazayuni wabaguzi wakubwa. ni nchi sawa na apartheid south africa.
Ni Nchi teule ndugu ni taifa la Mungu kubali usikubali huo ndio ukweli! hata siku 1 maneno ya Mungu huwa hayafutiki kabisa na kiapo chake huwa hakitenguliwi! POLE SANA!
 
Hata Russia ilikua inalipwa pesa na UsA. Baada ya kuanguka.soviet union.

Sasa ni kuangalia nini nyuma ya haya malipo. Ndio kitu cha Msingi. Utakuta kuna stipulation mahali kwamba ni lazima kwa USA kuwapa posho ya kujikimu misri na Israel like wise Russia.
Wakati wa vita ya mwaka 90 Israel ilishambuliwa na sadam haikujibu.kwakua USA aliiomba isijibu atailipa kwa hasara itakayojitokeza. Israel ikawa inajihami.na makombors ys patriotic. Hapa sio kwamba Israel NJ lele mama, Bali hii mikataba yao Ina string attached ndio maana kuna utulivu fulani...
 
It wasn't by chance
Mie ndio kabisa sitaki kufungamana na huyo mungu wenu kuwa kuwa Israel ni Taifa lililolaaniwa na Mungu! Sitaki kabisa kufuata hicho kitabu chako kwani mie naamini ktk maandiko kuwa 'atakaeilaani Israel nae amelaaniwa'
 
Sio kila unachoamini wakristo wengine wanaamini. Iwe satanic iwe sio, jua wasio amini wapo. Soma historia kamili ya bendera ya Israel.wikipedia..
Achana na conspiracy. Shetani hana bendera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…