Unaelewa maana ya kubariki? Kwa nn hajaweka bendera ya commoro?sasa ukitundika/weka bendera ya Israel kwenye gari lako ndio umebariki taifa la Israel???
Kuwapo kwa bendera hiyo inamaanisha kuwa wao wanafurahia Kimtindo waisrael wanavyowafanyia wapalestina, kindanindani watu hao pia ni wadini na ni lazima watakuwa Christian's extremists.Waungwana kuna mambo maishani huwa yanapotazamwa humuachia mtazamaji kila aina ya tafakuri kichwani mwake. Ndani ya miaka kadhaa ya hivi karibuni, kumezuka tabia ya watu kuitundika bendera ya Israel kwenye sehemu ya chini ya kioo cha ndani ya gari, kile ambacho dereva hukitumia kutazama magari yanayokuja kutokea nyuma ya gari.
Mwanzoni nilidhani ni mahaba binafsi ya mtu mmoja, lakini kadri siku zinavyokwenda ndivyo ambavyo mashabiki wa bendera hiyo maarufu duniani, walivyozidisha tabia hiyo.
Huwa najiuliza kama Waisrael na wao wanayo tabia ya kuitundika bendera ya Tanzania, katika sehemu ile ile ambayo sisi tunaitundika bendera yao ndani ya magari yetu. Huwa najaribu kujiuliza iwapo Mtanzania anayekatiza katika mitaa ya Jerusalem au Tel Aviv anaweze kukutana na gari ambalo ndani yake kuna bendera ya Tanzania imetundikwa, na muisrael akiendesha gari huku akiufurahia uwepo wa bendera yetu.
Haya ni mawazo yangu, kwani tabia hii imenifanya nijiulize iwapo upendo unaotoka mioyoni mwetu kuelekea kwa Waisrael, unaweza na wenyewe kuwa unathaminiwa na Waisrael bila ya sisi Watanzania kujua ni jinsi gani tunavyothaminiwa.
Nimekusoma Chiwaso, hiyo extremism ipo sana Tanzania.Kuwapo kwa bendera hiyo inamaanisha kuwa wao wanafurahia Kimtindo waisrael wanavyowafanyia wapalestina, kindanindani watu hao pia ni wadini na ni lazima watakuwa Christian's extremists.
Nani kakwambia Sayansi na Technologia imeanza na Israel. Fuateni mdundiko tu. Dah ndio mkapelekwa ugahibuni katika Utumwa MamboleoHiyo nchi ilibalikiwa from beginning that's why. Unavoona sayansi na teknolojia, chanzo ni Israel. na wavumbuzi wa mambo mengi duniani ni Wayahudi. so unavoona bendera nyingi kwa daladala ni wanapata mibaraka coz Israel. maana Sir God alisema JAMAA ZOTE ZA DUNIA ZITABARIKIWA KUTOKANA NA TAIFA LA ISRAEL
Pumba!!!Nalipenda mno neno "Israel" kuliko neno "Tanzania" maana neno Israel limeasisiwa na Mungu Mkuu
muumba wa mbingu na nchi; Mungu wa Ibrahimu; Mungu wa Isaka; Mungu wa Yakobo na baadae huyu ndiyo Israel; Maana ya jina lenyewe ni mshindi: Lakini neno Tanzania limeasisiwa na binadamu kwahiyo ni la kawaida tu. Hakuna nchi ya kusimama kupigana na Israel na ikashinda si Urusi,Marekani, Ujerumani wala China.
Fimbo ya enzi haitaondoka mikononi wa Yuda mpaka atakapokuja yeye mwenye kumiliki: Wafilisiti na Waarabu wote wanaifahamu vyema hii fimbo tokea enzi za Musa, Joshua na Daudi mwana wa Yese pia Mfalme wa Israel. Hii historia ilikuja kujirudia ule wa miaka ya 1962-1968-9 pale nchi takribani 9 za kiarabu ziliposalimu amri kwa taifa lenye watu wasiozidi milioni moja.
Msambichaka Mkinga kaongea jambo LA KWELI mkuu... Fuatilia historia utasoma hii kitu.Usitoke mishipa ya shingo kwa kulazimisha jambo,kitu muhimu uelewe tu israel haiwezi kusimama kwa miguu yake bila hizo nchi za magharibi kwanini hao waisrael wasiyafanyie kwao mambo yote na pesa ibaki hapopapo kwao na ikiwezekana wao ndio wapeleke misaada huko u.s na kwingineko? Acha kutetea ujinga
Cc kahtaan FaizaFoxy big show ElungataTafuta kwenye Biblia mwanzo hadi mwisho hukiti jina la Tanzania wala Tanganyika,,
Israel ni jina teule limetoka kwa MUNGU YEHOVA mwenyewe kapewa mzee Jacob,, Tanzania ni jina tu kama ulivyo jiita wew Emmadogo,,
Mataifa yote yanayo ichukia Israel hulaaniwa na Mungu ,, vita haiishi nchi mwao,, Libya, Misri,, Syria,, Iraq,, Lebanon,, Yemen,,Afganstan,, Somalia,, Sudan nk.
Lakini nchi zote duniani zenye mapenzi mema na Israel zina wingi wa Amani na furaha kwa raia wao,, na ndio limbo lip kwa watu wa mataifa yenye chuki dhidi ya Israel,,
CcNalipenda mno neno "Israel" kuliko neno "Tanzania" maana neno Israel limeasisiwa na Mungu Mkuu
muumba wa mbingu na nchi; Mungu wa Ibrahimu; Mungu wa Isaka; Mungu wa Yakobo na baadae huyu ndiyo Israel; Maana ya jina lenyewe ni mshindi: Lakini neno Tanzania limeasisiwa na binadamu kwahiyo ni la kawaida tu. Hakuna nchi ya kusimama kupigana na Israel na ikashinda si Urusi,Marekani, Ujerumani wala China.
Fimbo ya enzi haitaondoka mikononi wa Yuda mpaka atakapokuja yeye mwenye kumiliki: Wafilisiti na Waarabu wote wanaifahamu vyema hii fimbo tokea enzi za Musa, Joshua na Daudi mwana wa Yese pia Mfalme wa Israel. Hii historia ilikuja kujirudia ule wa miaka ya 1962-1968-9 pale nchi takribani 9 za kiarabu ziliposalimu amri kwa taifa lenye watu wasiozidi milioni moja.
Kwani wewe ni nani hata kuwapangia watu jinsi ya kutumia resource zao au vitu vya kubandika? Waislam wengi wana picha ya Al Kaaba. Ni Hiyari yao hakuna tatizo. Rastafarians wanapenda kuweka Bendera sijui ya nchi gani ile (Ethiopia?) Na hakuna shida. Kuna wanaoweka picha za Osama, ni hiari yao pia. Hata hao wakristo wanaoweka bendera ya Israel ni hiari yao pia.Mbona hao waisraeli hawabebi bendera za Tanzania. Na haya mambo yanafanyka kwenye nchi za kiafrika maana Marekani PAMOJA NA ushosti wote na Israeli huwezi ona raia wake wakitembea na hizo bendera never ni sisi tu wafuata mkumbo bila kuelewa.
Halafu kuna kitu nakishangaa kwa hawa wakristo wanaobeba hizi bendera maana sio wote. Wanasena wanamuamini YESU Kristo but wanapeperusha bendera za watu wasiomuamini YESU kristo
You are welcome!.....
......salute !!!!
Watu wenye mawazo mgando kama wewe ndo sababu kuu ya Tanzania kua maskiniKitu kilichotuchelewesha Tanzania mpaka kuzalisha umaskini, vita, maradhi ufisadi unaanza pale tulipovunja uhusiano na Israel ashukuriwe
Mungu uhusiano wa kibarozi unarudi, kwa maana hiyo tumeji connect na baraka miaka michache ijayo hatutakuwa kama tulivyo.
Kazi yako ni Kudhania tu pole sana... Huna Hoja zaidi ya VirojaUmeandika ya kujifurahisha lakini sidhani kama una elimu yoyote kuhusu Christianity na Judaism.