OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 457
- 773
Akizungumza kwenye mahojiano yaliyofanyika The Citizen (YouTube), mmilikiwa Nala, application ya kutuma hela kutoka nchi mbalimbali amesema suala la lugha na speed ya approval limefanya ajikite zaidi Kenya kuliko Tanzania.
Benj amesema Benki Kuu ya Tanzania ilitumia takriban mwaka na nusu kumkubalia kuendesha biashara yake Tanzania. Wakati benki kuu ya Kenya ilitoa ithibati ndani ya miezi miwili. Aidha, amesema application hiyo inafanya kazi nchi za Ulaya na Marekani ambapo kama mtu atatafuta huduma kwa wateja kuna uwezekano mkubwa wa kutumia kiingereza. Amesema wakenya aliwaona kuwa vizuri zaidi katika kiingereza kuliko Tanzania ambapo ingekuwa ngumu kwa watu kutoa huduma kwa watu wenye changamoto huku akisema wanaojua kiingereza Tanzania ni gharama zaidi.
Ben amesema kwenye teknolojia muda ni adui mkubwa, kwa hiyo speed ni muhimu sana katika kufanya mambo ya technology. Hata hivyo amesisitiza kuwa English ni changamoto kubwa kwa Tanzania. English ni lugha ya biashara