Benjamin Fernandes: Kiingereza na speed ya kusajili imefanya nijikite zaidi Kenya kuliko Tanzania

Benjamin Fernandes: Kiingereza na speed ya kusajili imefanya nijikite zaidi Kenya kuliko Tanzania

Poa poa tumekusikia, turudi kwenye mada husika.
  • Kiingereza siyo hoja, tena mtaala wa elimu nchini unatakiwa kuwa Kiswahili hasa kwenye upatikananaji wa maarifa.
  • Kuhusu vibali, BoT ndio wanajua, siwezi kujibu.

Lakini sidhani ni muhimu saaana hicho kikampuni kuwepo hapa.

Naona kama jamaa anajipa umuhimu saaaana utafikiri kafanya jambo extraordinary.
 


Akizungumza kwenye mahojiano yaliyofanyika The Citizen (YouTube), mmilikiwa Nala, application ya kutuma hela kutoka nchi mbalimbali amesema suala la lugha na speed ya approval limefanya ajikite zaidi Kenya kuliko Tanzania.

Benj amesema Benki Kuu ya Tanzania ilitumia takriban mwaka na nusu kumkubalia kuendesha biashara yake Tanzania. Wakati benki kuu ya Kenya ilitoa ithibati ndani ya miezi miwili. Aidha, amesema application hiyo inafanya kazi nchi za Ulaya na Marekani ambapo kama mtu atatafuta huduma kwa wateja kuna uwezekano mkubwa wa kutumia kiingereza. Amesema wakenya aliwaona kuwa vizuri zaidi katika kiingereza kuliko Tanzania ambapo ingekuwa ngumu kwa watu kutoa huduma kwa watu wenye changamoto huku akisema wanaojua kiingereza Tanzania ni gharama zaidi.

View attachment 3401737

Ben amesema kwenye teknolojia muda ni adui mkubwa, kwa hiyo speed ni muhimu sana katika kufanya mambo ya technology. Hata hivyo amesisitiza kuwa English ni changamoto kubwa kwa Tanzania. English ni lugha ya biashara
Kwani wachina wanajua kiingereza?
 
Baba ako alifungua wapi hata genge la mchongo akatengeneza pesa ya kukuachia wewe.

Mwenye pesa aheshimiwe, bila kujali pesa ameipataje, maana kama kaipata kwa njia isiyo halali, wewe mbona huipati?

Kama dhambi kwani wewe Huna?
Mtu aliyeweza kuwalaghai maelfu ya watu wenye akili zao kisha wakampelekea hela maana yake huyo mtu yuko smart au ana kipawa mtu anayebisha ajaribu kuwakusanya hata watu 10 tu kisha wamletee pesa kama ni rahisi
 
Back
Top Bottom