Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Aliyetengeneza hela ni baba yake baada ya kutapeli waumini wake kwenye kanisa lake la mchongo la ATN.
Haya mengine ni matokeo tu.
Pesa za sadaka ndio zinampa JEURI.
View: https://www.youtube.com/live/XypSNO4zd6E?si=QFiFDhMHFuu4gf8m
Baba ako alifungua wapi hata genge la mchongo akatengeneza pesa ya kukuachia wewe.
Mwenye pesa aheshimiwe, bila kujali pesa ameipataje, maana kama kaipata kwa njia isiyo halali, wewe mbona huipati(hivi kuna mtu hapendi pesa nduguzanguni)
Kama dhambi kwani wewe Huna?