Benjamin Fernandes: Kiingereza na speed ya kusajili imefanya nijikite zaidi Kenya kuliko Tanzania

Benjamin Fernandes: Kiingereza na speed ya kusajili imefanya nijikite zaidi Kenya kuliko Tanzania

Akizungumza kwenye mahojiano yaliyofanyika The Citizen (YouTube), mmilikiwa Nala, application ya kutuma hela kutoka nchi mbalimbali amesema suala la lugha na speed ya approval limefanya ajikite zaidi Kenya kuliko Tanzania.

Benj amesema Benki Kuu ya Tanzania ilitumia takriban mwaka na nusu kumkubalia kuendesha biashara yake Tanzania. Wakati benki kuu ya Kenya ilitoa ithibati ndani ya miezi miwili. Aidha, amesema application hiyo inafanya kazi nchi za Ulaya na Marekani ambapo kama mtu atatafuta huduma kwa wateja kuna uwezekano mkubwa wa kutumia kiingereza. Amesema wakenya aliwaona kuwa vizuri zaidi katika kiingereza kuliko Tanzania ambapo ingekuwa ngumu kwa watu kutoa huduma kwa watu wenye changamoto huku akisema wanaojua kiingereza Tanzania ni gharama zaidi.

View attachment 3401737

Ben amesema kwenye teknolojia muda ni adui mkubwa, kwa hiyo speed ni muhimu sana katika kufanya mambo ya technology. Hata hivyo amesisitiza kuwa English ni changamoto kubwa kwa Tanzania. English ni lugha ya biashara
Fact
 
Inawezekana wapo wengi waliokutana na hizo changamoto katika uanzishwaji wa biashara fulani.
 
still hating on a nigga who doesn't even know your presence 🤔.

Kama ada ilikuwa 30m, mbona baba ako hakukupeleka ukasome na wewe?.

Kumbe ume sema target ni diaspora ehh?, means ali taka kwenda global bhana.
Jamaa ana ofisi nchi zaidi ya 7 duniani, wewe ume kazana haina jipya!
He's is not a nigga. Punguza shobo.

He is Indian.
 
Wakati Bank Kuu ya Tanzania ikitumia mwaka mmoja na nusu kumpa Kibari kuanzisha huduma yake Tanzania, Bank Kuu ya Kenya ilichukua mwezi mmoja na nusu tu.

Hapo ndiyo utajua Utofauti wa Tanzania na Kenya kwenye Kila kitu, na mpaka kwenye maendeleo ndiyo hivyo hivyo...!

Mfano Kenya Wana Paypal, Tanzania wanasema kuruhusu Paypal mpaka Yesu arudi.
 
Back
Top Bottom