Benjamin Fernandes: Kiingereza na speed ya kusajili imefanya nijikite zaidi Kenya kuliko Tanzania

Akizungumza kwenye mahojiano yaliyofanyika The Citizen (YouTube), mmilikiwa Nala, application ya kutuma hela kutoka nchi mbalimbali amesema suala la lugha na speed ya approval limefanya ajikite zaidi Kenya kuliko Tanzania.

Benj amesema Benki Kuu ya Tanzania ilitumia takriban mwaka na nusu kumkubalia kuendesha biashara yake Tanzania. Wakati benki kuu ya Kenya ilitoa ithibati ndani ya miezi miwili. Aidha, amesema application hiyo inafanya kazi nchi za Ulaya na Marekani ambapo kama mtu atatafuta huduma kwa wateja kuna uwezekano mkubwa wa kutumia kiingereza. Amesema wakenya aliwaona kuwa vizuri zaidi katika kiingereza kuliko Tanzania ambapo ingekuwa ngumu kwa watu kutoa huduma kwa watu wenye changamoto huku akisema wanaojua kiingereza Tanzania ni gharama zaidi.

View attachment 3401737

Ben amesema kwenye teknolojia muda ni adui mkubwa, kwa hiyo speed ni muhimu sana katika kufanya mambo ya technology. Hata hivyo amesisitiza kuwa English ni changamoto kubwa kwa Tanzania. English ni lugha ya biashara
Mkuu,

Hiyo video ya mahojiano iko wapi?

Link please.
 
Bongo watoa vibali wenyewe ni wakina Nape Nnauye,ndio ma-think tank wa nchi
 
Kiingereza siyo issue.

China hakuna Kiingereza na tehnology ya hali ya juu.

Huyo jamaa yenu hakuna jipya aliliofanya.

Ametengeneza App ambayo ziko nyingi tu, na anatumia pesa kuitafutia soko.

Target yake ni remmittances
Wewe hata Wachina hujawahi kufanya nao kazi unadharau Kingereza.
Wachina vibarua ndo unasema hawajui kingereza ila Wachina Investor hakuna asiyejua Kingereza.
Acheni ujinga naona CCM inawalisha upumbavu sana
 
Jifunze lugha hata 200.

Lakini maisha ni maarifa, ambayo hayana lugha.

Kama unajua kuendesha gari vizuri, na wanatafuta dereva, lugha ni jambo la ziada.

Acheni uzuzu, umsukule na utaahira.

Acheni kujidharau na ULIMBUKENI.

Tafuteni ujuzi. Kiingereza ni lugha kama lugha nyingine.

JITAMBUENI. ACHENI KUTUMIKA

Kiingereza siyo issue.

China hakuna Kiingereza na tehnology ya hali ya juu.

Huyo jamaa yenu hakuna jipya aliliofanya.

Ametengeneza App ambayo ziko nyingi tu, na anatumia pesa kuitafutia soko.

Target yake ni remmittances
Soko lake linahitaji kiingereza si kichina
 
Kweli usemacho Tanzania Kingereza Tatizo kubwa Hata hao wasomi Kingereza Cha kuunga Unga.
Pia Serikali yenyewe Ina Kingereza Cha kuunga Unga wanazingua Kuna Umuhimu wa kubadilisha lugha.
Kitu kimoja tu namuunga mkono, ukiritimba serikalini. Hilo tu Ndiyo kilema cha kudumu. Swala la Kiingereza si tatizo hata kidogo. Tuna Watanzania kibao wengine wamezaliwa kwenye viunga vya jiji la London, Newyork nk wangependa kuja kufanya kazi kwenye nchi za wazazi wao. After all kwenye Watanzania milioni 61 huko si watu 20,000 wenye Kiingereza kilichonyooka kuliko hata chake.
 
Soko lake linahitaji kiingereza si kichina
Maana yake hakuwa na sababu ya kuleta hapa branch ya kampuni yake.

Sasa maelezo tani 100, haijulikani ni ya nini.
 
Kiingereza siyo issue.

China hakuna Kiingereza na tehnology ya hali ya juu.

Huyo jamaa yenu hakuna jipya aliliofanya.

Ametengeneza App ambayo ziko nyingi tu, na anatumia pesa kuitafutia soko.

Target yake ni remmittances

Kuna Mchina marketer fulani amekuja huku, akakaa wiki moja anajaeibu marketing ya mfumo wao, imekua tafrani kisa kingereza hakijui vizuri.
Kingereza ni muhimu sana hususan kwa haya mataifa yetu yasiyo na viwanda.
 
Kuna wakenya wengi sana wanatafuta maisha nje, kwahiyo wanatuma pesa Kenya

Ndio target ya soko lake.

Ila hasemi huo ukweli.
Wewe chawa ni mjinga tu kama alikuja Tanzania na akazungushwa na serikali unataka asifie tu kama nyinyi machawa mnvyofanya?
 
Yeye nani?

Alitaka special attention??

Kafanya kiti gani cha maana sana??
 
Back
Top Bottom