Benjamin Fernandes: Kiingereza na speed ya kusajili imefanya nijikite zaidi Kenya kuliko Tanzania

Hili linathiirisha kuwa alichokisema kina ukweli. Wewe kisa unadhani wazazi wake wana kanisa, unadhani NALA imetoa capital kwenye sadaka za waumini. Mbona kila kitu kiko kwenye public domain, ni jambo la kujisomea jinsi startup zinavyosaka mitaji na utaona tu mtandaoni walioweka pesa kwenye hiyo kampuni. Wanaijeria wananfanya sana hizi mambo na wanapata mitaji kutoka nje. Shida ya startups nyingi zinakufa na kuchoma mitaji, kama mpaka sasa ameendelea kuwepo na wamemwongezea mtaji, ina maana inafanya vizuri.
Kwahiyo yeye anapata mitaj nje.

Wewe na ukoo wako, mnapelekea sadaka kanisani kwa baba yake.

Na vimitaji vilivyobaki mnapeleka kwa MR KUKU, na MR MANGURUWE.

Watu weusi mna LAAANA.

FB_IMG_17522320890183066.jpg
 
Kwahiyo yeye anapata mitaj nje.

Wewe na ukoo wako, mnapelekea sadaka kanisani kwa baba yake.

Na vimitaji vilivyobaki mnapeleka kwa MR KUKU, na MR MANGURUWE.

Watu weusi mna LAAANA.

View attachment 3402077
Sasa kweli ni kama hujielewi. Unaruka ruka hujui hata unasimamia wapi. Umesema anatoa mtaji kanisani, sasa nimekuelewesha alipotoa mtaji, umehama sasa.
Acha wivu, kijana kasoma na anaifanyia kazi elimu yake na ndiyo maana hajawa mchungaji kama wazazi wake.
 
Wewe jamaa ni msukule taahira.

Unakaza fuvu kama nyumbu.

Huyu jamaa yako Kasoma Haven of Peace, Kaenda Chuo Marekani kwa pesa za SEED FUNDING???

TAKATAKA.

Huko shule mwalimu wako alikufundisha kuwa JUHA??
 
Kweli wewe ni fala kweli. Sasa kusoma Heaven Peace, kusoma Harvard kunakuuma kitu gani? Yes, kasoma huko na elimu aliyopata kaifanyia kazi na ndiyo maana anafanya anachokifanya.
Wewee uliyesoma shule ya kata upo hapa unakaza fuvu na hasira utadhani kuna alichochukua kutoka kwako.
 
Wewe nguruwe, huko kasoma na SEED FUNDS???
 
Kaongea ukweli huyo Benjamin .

Kuhusu Baba yake kula sadaka je kuna mtumishi ambaye huwa hali sadaka hapa duniani.?

Tuache Chuki Mkuu na njia ya Ku-block mafanikio ni kuwachukia ambao wamefanimiwa

Be smart motherfucker.... Don't hate people
 
Mimi maisha yangu yananitosha.

Sihitaji kuonekana kwenye TVs kila siku kubweka bweka utafikiri nimegundua dawa ya Kansa.
We jamaa I used to respect you kumbe ni mpumbavu na hauna akili

Mtu amefanikiwa unaanza kumchukia na kumuita kilaza
 
Sihitaji heshima ya MATAAHIRA Mitandaoni.

Hatujuani.

Sitaki shobo.
 
Kaongea ukweli huyo Benjamin .

Kuhusu Baba yake kula sadaka je kuna mtumishi ambaye huwa hali sadaka hapa duniani.?

Tuache Chuki Mkuu na njia ya Ku-block mafanikio ni kuwachukia ambao wamefanimiwa

Be smart motherfucker.... Don't hate people
Zero thinking boga
 
Mjaa laana mwenye njaa

Subira yake inaeleza wazi kuwa mtu na lake jambo
 
Back
Top Bottom