Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,436
- 1,769
Hiyo kutarget diaspora wanaotuma pesa nyumbani unlike hizo platforms za Selcom, Maxmalipo na eGA tayari kabisa ni ubunifu wake wa kipekee. Inaweza kuwa alisomeshwa kwa fedha za sadaka ila haiondoi ukweli kwamba amekuja na ubunifu. Sisi (mimi, wewe na wengineo) ambao hatuna ubunifu tukae kimya na kukubali hata kama inauma.Chako kipi???
Huyo jamaa kasoma Haven of Peace kwa sadaka za watu, ada kwa mwaka milioni 30.
Nala haina kitu kipya.
Hata Selcom, MaxMalipo, eGa wanafanya maajabu kuliko hiyo Nala.
Tofauti pekee iliyopo ni soko, Nala ana-target Diaspora wanaotuma pesa home.
Sasa anabonga utafikiri STEVE JOBS.
Ulimbukeni tu.