Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,932
- 34,918
Watu wengi vichwa box ,si unaona hata hapa.Mtu aliyeweza kuwalaghai maelfu ya watu wenye akili zao kisha wakampelekea hela maana yake huyo mtu yuko smart au ana kipawa mtu anayebisha ajaribu kuwakusanya hata watu 10 tu kisha wamletee pesa kama ni rahisi
Tabula rassa