Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,932
- 34,918
Sera za nyumbani si rafiki, project ya fernandes ilikuwa inaenda kuwa kubwa kama si ukiritimba , na ni mambo ya hovyo kwa karne hiiBongo kuna ukiritimba mwingi, hata baadhi ya diaspora waliojipata ughaibuni hupata ukakasi kuwekeza bongo sababu kubwa ni ukiritimba huo.
We Una chuki na hautafanikiwa
Hakika mfano lile wazo la kujenga mortuary nilinyimwa kibaliSera za nyumbani si rafiki, project ya fernandes ilikuwa inaenda kuwa kubwa kama si ukiritimba , na ni mambo ya hovyo kwa karne hii
Hope wahusika wameipata habari
Fungua na wewe kanisa Kisha tapeli watu Ili watoto wako waje kuwa matajiri kama wewe.Baba ako alifungua wapi hata genge la mchongo akatengeneza pesa ya kukuachia wewe.
Mwenye pesa aheshimiwe, bila kujali pesa ameipataje, maana kama kaipata kwa njia isiyo halali, wewe mbona huipati(hivi kuna mtu hapendi pesa nduguzanguni)
Kama dhambi kwani wewe Huna?
Duh 😄 🤣Fungua na wewe kanisa Kisha tapeli watu Ili watoto wako waje kuwa matajiri kama wewe.
Jinga kabisa wewe
WivuHuyu jamaa ni moja ya viazi wa kutupwa.
Na anapenda sana kubonga kama chiriku.
Kasema hao kuwalipa ni gharama sana.Kitu kimoja tu namuunga mkono, ukiritimba serikalini. Hilo tu Ndiyo kilema cha kudumu. Swala la Kiingereza si tatizo hata kidogo. Tuna Watanzania kibao wengine wamezaliwa kwenye viunga vya jiji la London, Newyork nk wangependa kuja kufanya kazi kwenye nchi za wazazi wao. After all kwenye Watanzania milioni 61 huko si watu 20,000 wenye Kiingereza kilichonyooka kuliko hata chake.
Wameipata ila hawajifunzi mkuu.Sera za nyumbani si rafiki, project ya fernandes ilikuwa inaenda kuwa kubwa kama si ukiritimba , na ni mambo ya hovyo kwa karne hii
Hope wahusika wameipata habari