Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
kweli watapata msuko suko lakini ndo pona yao hakuna mkato wowote ninaoona mimi afadhali wafe wakidai tume na wahesabike katika historia ya nchiiKudai tume huru ni kazi kubwa kuliko hata kudau uhuru kutoka kwa mkoloni.
Na ccm hasa magufuli hawezi kukubali kuweka tume huru ya uchaguzi
Na alishasema kuwa yeye hakuahidi tume huru ya uchaguzi.
Kiufupi mwka huu hakuna uchaguzi.
Kama wapinzani wetu ndio hawa wanacheza mdaku waoga wanaogopa risasi bsi utegemew magu atawqpiga mchana kweupe n wananchi hawataemda kupiga kura kwa sababu wanayajua matokeo
ninaumwa sana kuona nchi yangu nzuri sana ikipoteta kwa kuwa na watu wanaofikiri umbali wa kivuli ndo wanaoiongozaUna akili zinafanya kazi vizuri sana.. Kula na kunywa chochote utakacho utastaajabu kuona hiyo bili ikilipiwa in a short while!
Ndo madhara ya elimu bure... Elimu substandard walopewa na wanayoendelea kupewa watu wetu!ninaumwa sana kuona nchi yangu nzuri sana ikipoteta kwa kuwa na watu wanaofikiri umbali wa kivuli ndo wanaoiongoza
bili ya tume huru ni kubwa sana mkuu lakini wasiiogope lazima wailipe ili waingie mlango wa mashujaa wa nchi. nyerere pale mbele wao wakifuata nyuma yakeUna akili zinafanya kazi vizuri sana.. Kula na kunywa chochote utakacho utastaajabu kuona hiyo bili ikilipiwa in a short while!
Yaani mnapoteza mda wenu tu hakuna kipya kwa ccm bila kupambana na kudai tume huru ya uchaguzi tu. mshawishi wananchi iwe mtandaoni na press conference vyovyote vile hamasisheni watanzania kwa uwezo wenu wote anzisheni kampeni rasmi kwa mwaka huu 2020. leo ni januari mpaka ifike octobaba kimeeleweka ebu muache harakati nyingine muwaze namna ya kuwaamsha watanzania kudai tume huru ya uchaguzi. Jengeni hoja inayoeleweka kwa watanzania ccm ni wachache sana ukilinganisha na watanzania. Hata kama mtatiwa kizuizini kwa kudai tume huru mtakuwa na hoja mtaaani kuwa mnapambana na jambo la msingi sana
chonde chonde mkipata tume huru mmeshinda uchaguzi wowowte ule. Wala sio nyie tu na wote watakaofuta katika siasa ya tanzania
mungu ibari africa mungu ibariki tanzania
mkuu mimi nakuambia kutoka bottom of my heart ninaumwa sana naipenda nchi yangu sana mno ila ccm naomba kwa mungu wangu ninayemuamini aiondoe kwa amani maana imetufilisiI wish viongozi wetu wote vibaraka na hata manguli watauona ukweli hii.
Eeh mola wetu hebu utujalie hekima hii.
Bila kuwa na KATIBA MPYA ILE YA WANANCHI pamoja na TUME HURU YA UCHAGUZIYaani mnapoteza mda wenu tu hakuna kipya kwa ccm bila kupambana na kudai tume huru ya uchaguzi tu. mshawishi wananchi iwe mtandaoni na press conference vyovyote vile hamasisheni watanzania kwa uwezo wenu wote anzisheni kampeni rasmi kwa mwaka huu 2020. leo ni januari mpaka ifike octobaba kimeeleweka ebu muache harakati nyingine muwaze namna ya kuwaamsha watanzania kudai tume huru ya uchaguzi. Jengeni hoja inayoeleweka kwa watanzania ccm ni wachache sana ukilinganisha na watanzania. Hata kama mtatiwa kizuizini kwa kudai tume huru mtakuwa na hoja mtaaani kuwa mnapambana na jambo la msingi sana
chonde chonde mkipata tume huru mmeshinda uchaguzi wowowte ule. Wala sio nyie tu na wote watakaofuta katika siasa ya tanzania
mungu ibari africa mungu ibariki tanzania
ndo maana wakiona unahoji mambo nyeti ya taifa wanatukana tu hawana hoja wameishiwa kabisa wamelewa madarakaNdo madhara ya elimu bure... Elimu substandard walopewa na wanayoendelea kupewa watu wetu!
Wapo ambao hadi sasa wanaona nchi ipo vizuri kuliko wakati mwingine wowote kwenye historia ya Taifa hili.
huo ndo ukweli hakuna haja kwenda kupiga kura wewe kalale unajisumbua tu haja ya moyo wako haitatimiaBila kuwa na KATIBA MPYA ILE YA WANANCHI pamoja na TUME HURU YA UCHAGUZI
Hakuna hata haja ya kupiga kura.
Ni kupoteza muda.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ni kweli lakini kinaweza kujengwa kwa kuwa ishu ni kujenga hoja popote pale iteleweka tuWatanzania wengi ni waoga sasa nani akae mstari wa mbele kudai tume kwa ajili ya faida ya wengne?
Kizazi cha aina hiyo ya kina Nyerere, Mandela, Nkrumah kilishapita
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo maana wakiona unahoji mambo nyeti ya taifa wanatukana tu hawana hoja wameishiwa kabisa wamelewa madaraka
Watanzania wengi ni waoga sasa nani akae mstari wa mbele kudai tume kwa ajili ya faida ya wengne?
Kizazi cha aina hiyo ya kina Nyerere, Mandela, Nkrumah kilishapita
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tunaongelea elimu ipi mkuu?Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu
Kutokana na Elimu duni; Watanzania wengi wanamsikiliza Diamond kuliko hata nafsi zao!