Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kudai tume huru ni kazi kubwa kuliko hata kudau uhuru kutoka kwa mkoloni.
Na ccm hasa magufuli hawezi kukubali kuweka tume huru ya uchaguzi
Na alishasema kuwa yeye hakuahidi tume huru ya uchaguzi.
Kiufupi mwka huu hakuna uchaguzi.
Kama wapinzani wetu ndio hawa wanacheza mdaku waoga wanaogopa risasi bsi utegemew magu atawqpiga mchana kweupe n wananchi hawataemda kupiga kura kwa sababu wanayajua matokeo