Benjamin Netanyahu anakaribia kutangazwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu Israel

Naona Brazil ,Lula da Silva anaongoza mbio za urais , anaenda kumng'oa Bosonaro
Tusubiri USA labda Trump naye anaweza rudi
Labda huna habari; mbio za urais wa Brazil zimeshaisha, na mshindi ameshatangazwa.
 
Acha ujuaji wakati hakuna ulijualo.

Ibrahim hakuwa myahudi bali alikuwa mkurudi.
 
Acha ujuaji wakati hakuna ulijualo.

Ibrahim hakuwa myahudi bali alikuwa mkurudi.
Mkurudi wapi wewe

Ulkizaliwa mara ya pili na kuwa na uhusiano mpya na Mungu unabadilishwa na Mungu kuanzia jina kama Ibrahim na kabila na taifa

Ndio maana kwenye Biblia wote waumini Mungu ni wana wa Ibrahim ni wayahudi kwa Imani na sio raia wa Dunia hii wako tu hapa kimwili lakini wenyeji wao mbinguni
Ndio Maana Yesu aliagiza chochote wakihitaji wasali baba yetu uliye mbinguni utupe riziki yetu hapa duniani atawaonyesha riziki iko wapi na kuwapa
Sababu yeye ndio source .ambaye Fedha na dhahabu na vyote vijazavyo Ulimwengu ni vyake

Balozi wa Marekani mfano Tanzania Pesa yake na Riziki zake hutoka Marekani kwao sio Tanzania.Tanzania hata iwe na hali ngumu vipi haiwezi athiri maisha ya balozi wa Marekani!!

Vivyo kwa wakristo waamini Mungu si wenyeji wa hii dunia ni mabalozi wa Yesu tu duniani wenyeji wao uko Mbinguni wana prrivellege zote za ubalozi kama kama Balozi wa Marekani na kumzidi riziki zao hazitegemei uchumi.wa Tanzania ukoje hata Ukauke vipi Mungu atawatuma kunguru wawaletee mkate kipindi cha ukame.ambacho hata wakilima kwa bidii vipi hawawezi pata riziki zao !!
 
Unawafahamu waumini walio kaa pale kwenye garden ya airport terminal 2 mwakaule.
Ambao walisema wanasubiri ndege kwennda Israel ama Iraq kamasjakosea, alafu walipoulizwa passport wakasema biblia ndio passport zao.

Ivi walipata usafiri?.

I'm Kristian as well.
 
Ukurudi ni kabila pia ni asili na siku zote asili ya mtu huwa haibadiliki hata akihamia sehemu nyingine.
 
What a comeback

Tutegemee Trump kuongoza senate na house?
much possible,
watu wamechoka na maisha magumu, visanga vya liberal visivyoeleweka na ofcoz vita vya ukraine vimechangia........
 
Nami niwe mkweli,nikiishika hii nchi siji iachilia mpaka kifo.
 
Wewe ni mvivu wa kusoma vitabu mbalimbali
 
What a comeback

Tutegemee Trump kuongoza senate na house?
Trump anafanyiwa figisu sidhani kama atarudi WH. Watu wenye roho mbaya wako bize wanataka nyaraka zake za Kodi ziwekwe wazi
 
U
Umeandika upuuzi Tu 😀
 
Mkuu uko sahihi ,ila mambo ya kiroho ukiyaleta Huku kwenye kwenye siasa hautaeleweka,
Ukiangalia Israel kwa jicho la kisiasa huwezi kuilewa Wala huwezi kumwelewa Mungu,

Maana kiukweli hiyo nchi Mungu aliwapa Waisraeli kwa sharti la kuwaangamiza wenyeji wake wote then watii na kumwabudu Mungu huko,
Na hiyo nchi kiroho ni Mali ya Mungu wa Israel , So aliwapa WA Israel baada uovu wa wenyeji wa nchi hiyo kutimia ,
So hukumu Yao ilikuwa ni kuwaangamiz wote kwa kutumia waisrael then wamiliki hiyo nchi but
ukiangalia kwa jicho la kisiasa utaona uonevu mkubwa kwa palestina
kwa upande wangu naona is the best kuunda taifa moja na nchi moja hata kama serikali mbili tofauti then maisha yaendelee
 
Kagame wa israel karejea kidemokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…