Benjamin Netanyahu: Je, ni Kivuli cha Mfalme Daudi Kwenye Biblia?

Benzion Netanyahu​



Learn more

This article needs additional citations for verification. (October 2023)
Benzion Netanyahu (Hebrew: בֶּנְצִיּוֹן נְתַנְיָהוּ, IPA: [bentsiˈjon netaˈnjahu]; born Benzion Mileikowsky; March 25, 1910 – April 30, 2012)[2][3] was a Polish-born Israeli encyclopedist, historian, and medievalist. He served as a professor of history at Cornell University. A scholar of Judaic history, he was also an activist in the Revisionist Zionism movement, who lobbied in the United States to support the creation of the Jewish state. His field of expertise was the history of the Jews in Spain. He was an editor of the Hebrew Encyclopedia and
 
Hapana, Netanyau anafadhiliwa na Marekani kwa mabilioni ya Dola kifedha na silaha huku akiwashambulia Wapalestina na Walebanoni wasio hata na air defense hata moja huwezi kumfananisha na Mfalme Daudi aliyepambana na Goliath.

zitto junior Mathanzua
 
Ukitoa taarifa kwa mamlaka husika kuwa kuna majasusi wa Israel nchini?
 
Hitimisho
Kwa namna huyu mwamba Benjamni Netanyahu alivyokabiliana na Hamas pamoja na Hezbollah wanafadhiliwa na Utawala Iran, ninamuona kama vile ni Mfalme Daudi amekuja kwa sura ya Netanyahu
Netanyahu ana kesi ya ufisadi kwenye mahakama za Tel Aviv aliamua kuingia vitani ili kupata uungwaji mkono na watu kusahau madudu yake. Sidhani kama Daudi alikua mla rushwa kiasi afananishwe na huyu tapeli kutoka Poland.

Kingine kupambana na Lebanon au Hamas kwa nchi inayopewa matrilion na USA kila mwaka sio muujiza. Sawa tu na Ukraine inapewa matrilion na mmarekani na unaona anavyohimili vita, wàla hakuna muujiza ni pesa za mmarekani tu zimesaidia
 
Daud A. S ndiyo nani? Mimi namuongelea Daudi mwana wa Yese, aliyekuwa Mfalme ya Wayahudi baada ya Sauli. Huyo kwenu hatumjui
 
Hapana, Netanyau anafadhiliwa na Marekani kwa mabilioni ya Dola kifedha na silaha huku akiwashambulia Wapalestina na Walebanoni wasio hata na air defense hata moja huwezi kumfananisha na Mfalme Daudi aliyepambana na Goliath.

zitto junior Mathanzua
Nakusahihisha kidogo, Israel haopambani na Walebanon bali inapambana na magaidi wa Hamas wanaooshi Lebanon.

Hata juzi Nasrallah alipouliwa wananchi wa Lebanon walisherehekea sana
 
Nakusahihisha kidogo, Israel haopambani na Walebanon bali inapambana na magaidi wa Hamas wanaooshi Lebanon.

Hata juzi Nasrallah alipouliwa wananchi wa Lebanon walisherehekea sana
Wananchi wa Lebanon wanalipia gharama kubwa za haya mashambilizi yanayofanywa na Israel.
 
Kula rushwa kwa Benjamin Netanyahu hakuna tofauti na Mfalme Daudi alivyompeleka Front Uria ili auliwe na maadui kisha yeye amrithi mke wa Uria
 
Benjamin Benzion Mileikowsk na Daud wapi na wapi?!
 
Netanyahu ni mjinga sana hotuba zake ni kama vile sio kiongozi wa serikali ni kama katoka tu chumbani kwake mbio mbio kwenda kuongea na watu
 
Tupe summary ya Yoabu kidogo
Huyu mwamba kwa mm..nilivyo msoma hakuna kamanda aliyefanya makubwa kwa Israeli kwa wakati,wake kama huyu .nikamanda aliye vipiga vita vingi nakushinda vyote ,wakati wa Daudi mfalme kiasi ambacho kama angekuwa natamaa ya ufalme bhs ange chukua( haya ni mawazo yangu kwa jinsi nilivyo msoma) kwanza Kuna Uzi humu Kuna mtu alivyo muelezezea jinsi alivyo kwepa adhabu ya mungu
 
Bila kusahau Netanyau kaka yake alikuwa komando kiongozi, aliwawa na magaidi kina gadafi na wenzake ndo maana mdogo mtu akisikia gaidi ,haelewi ni anakichafua kwan. nini
 

Wapo wengi tu,na Wana akili kama majini
 
Kula rushwa kwa Benjamin Netanyahu hakuna tofauti na Mfalme Daudi alivyompeleka Front Uria ili auliwe na maadui kisha yeye amrithi mke wa Uria
Daudi alijutia makosa yake ila Netanyahu hajawahi jutia kuiba pesa za walipakodi wa Israel. Ni fisadi ambaye anajifichia kwenye vita kupata popularity.
 
Sasa kama unamkubali Daudi mbona mnasema ile Ardhi ni ya Wapalestina 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…