Benjamin Netanyahu: Je, ni Kivuli cha Mfalme Daudi Kwenye Biblia?

Benjamin Netanyahu: Je, ni Kivuli cha Mfalme Daudi Kwenye Biblia?

Sasa kama unamkubali Daudi mbona mnasema ile Ardhi ni ya Wapalestina 😂
Babako akiwa na wake wawili akafariki akaacha nyumba moja wewe ukaondoka kwenda kutafuta maisha miaka mingi ikapita haujapata kitu ila unakonnection na watu wenye ela ukarudi nyumbani utaishi na ndugu zako waliobaki hapo nyumbani au utawafukuza wote ubaki mwenyewe kwenye nyumba?
 
Mbona Daudi anaelezwa kama ndiye mfalme aliyepigana vita vingi na kuua watu wengi kuliko mfalme yeyote duniani kwa enzi zile? Kwani ndugu unaijua kweli Biblia au unabisha kutoa usingizi alfajiri hii
alikuwa anaua wanajeshi vitani,sio wanawake na watoto wasio na hatia.
 
Unahitaji elimu zaidi kuhusu Israel mkuu,hujui kabisa.There are fake Jews ambao wamejiingiza Kwa siri Israel,Jesus Himself talked about this very sema issue.Read Revelation 2:9 and 3:9 below.

Ufunuo wa Yohana 2:9
[9]Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.

Ufunuo wa Yohana 3:9
[9]Tazama, nakupa walio wa sinagogi la Shetani, wasemao kwamba ni Wayahudi, nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako, na kujua ya kuwa nimekupenda.

Mimi sibahatishi mkuu,I know what I am talking about.Ukitaka taarifa zaidi kuhusu swala hili zipi,ila taarifa hii niliyokupa ndiyo yenyewe,from Jesus Himself.
Hata mimi naijua Israel kwa kuitembelea na ninajua hata diaspora yao miaka zaidi ya 1700 baada ya Byzantine and crusader eras. Wewe huijui definition y Jew ni nani
 
Ukiona hivyo siyo kinyangarika kama wewe!
Kama ulimaaanisha Colin Powell aliyekuwa ndiye first black Chaiman wa Joint Chiefs of Staff wa US Army, then tambua kwamba huyo alikufa mwaka 2021
 
Kama ulimaaanisha Colin Powell aliyekuwa ndiye first black Chaiman wa Joint Chiefs of Staff wa US Army, then tambua kwamba huyo alikufa mwaka 2021

Kufa kwake hakubadili ukweli kuwa hakuwa myahudi.

Kwa mwendelezo huo tambua Marekani na Israel ni madola 2 tofauti.
 
Kufa kwake hakubadili ukweli kuwa hakuwa myahudi.

Kwa mwendelezo huo tambua Marekani na Israel ni madola 2 tofauti.
Acha uwongo ndugu. Colin Powell HAKUWA Myahudi bali ni Mjamaica mwenye asili ya Afrika

Colin Powell, the former U.S. Secretary of State and military leader, was of Jamaican descent. His parents, Maud Arial (née McKoy) and Luther Theophilus Powell, were both Jamaican immigrants of African and Scottish ancestry who moved to the United States. They settled in New York City, where Colin was born in Harlem in 1937. His ancestry reflects the diverse heritage typical of many Caribbean families, with a mix of African, European (Scottish), and possibly other influences common in Jamaica due to its colonial history.

Powell often spoke about his pride in his Jamaican roots and how his parents' hard work and values shaped his character and career.
 
Fuatilia yalikotokea hayo ndugu kabla ya kupurukuka nje ya reli
 
Weka ushahidi wa uyahudi wake hapa niuone siyo kuandika hisia tu

Wapi niliposema ni muyahudi?

Siyo wewe uliyesema wamerekani ni wayahudi?

Kwamba chigafla umesahau huyo aliingia je hapa?
 
Attachments

  • 20241019_164537.jpg
    20241019_164537.jpg
    274.4 KB · Views: 2
Mfalme Daudi ni moja ya watu mashuhuri katika Biblia, na vita alivyopigana vinaelezewa hasa katika vitabu vya 1 Samweli, 2 Samweli, na Zaburi. Hapa ni baadhi ya vita muhimu alivyopigana kwa mujibu wa Biblia:

1. Vita dhidi ya Goliathi (1 Samweli 17)
Akitumia kombeo na mawe matano, alimshinda Goliathi, huku akithibitisha kuwa ushindi hauko kwenye ukubwa au silaha, bali kwenye imani kwa Mungu.

2. Vita na Wafilisti
Daudi alipigana na Wafilisti katika miji kadhaa kama Keila (1 Samweli 23:1-13) na alipokuwa akiwakimbia wafuasi wa Sauli.

Alishinda tena na tena dhidi ya Wafilisti baada ya kuwa mfalme (2 Samweli 5:17-25), akiwapiga sana na kudhoofisha nguvu zao.

3. Vita dhidi ya Sauli
Ingawa Daudi hakutaka kumdhuru Mfalme Sauli, alikimbia mara nyingi kutokana na majaribio ya Sauli ya kumuua kwa wivu na hofu ya kupoteza ufalme.

4. Vita dhidi ya Waamaleki (1 Samweli 30)
Daudi aliwafuata Waamaleki, akawashinda na kuwarudisha watu wake salama pamoja na ngawira.

5. Vita vya Kifalme
Baada ya kuwa mfalme, Daudi aliongoza Israeli katika vita mbalimbali ili kuimarisha na kupanua mipaka ya ufalme. Aliwashinda Wamoabi, Waedomi, Waaramu, na mataifa mengine yanayozunguka Israeli (2 Samweli 8).

6. Vita dhidi ya Absalomu (2 Samweli 15-18)
Absalomu, mwana wa Daudi, alijaribu kumpindua baba yake na kuchukua ufalme. Daudi alilazimika kukimbia Yerusalemu, lakini baadaye jeshi lake lilimshinda Absalomu katika vita,

Hitimisho
Kwa namna huyu mwamba Benjamni Netanyahu alivyokabiliana na Hamas pamoja na Hezbollah wanafadhiliwa na Utawala Iran, ninamuona kama vile ni Mfalme Daudi amekuja kwa sura ya Netanyahu
Mlipigwa ktk biblia, bado mnaendelea kupigwa hata baada ya elimu na utandawazi
 
Ukisikia mkristo anasema Nabii Ibrahim na Daudi wazinifu usiwashangae sana si umeona wanamfananisha kichaa na Mitume 😄
 
Back
Top Bottom