Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kumfananisha mtumishi wa Mungu Daud na vitu vya ajabu,kipindi cha daud ukimwaga damu isiyo na hatia,ujue na yako lazima imwagike.Mfalme Daudi ni moja ya watu mashuhuri katika Biblia, na vita alivyopigana vinaelezewa hasa katika vitabu vya 1 Samweli, 2 Samweli, na Zaburi. Hapa ni baadhi ya vita muhimu alivyopigana kwa mujibu wa Biblia:
1. Vita dhidi ya Goliathi (1 Samweli 17)
.Akitumia kombeo na mawe matano, alimshinda Goliathi, huku akithibitisha kuwa ushindi hauko kwenye ukubwa au silaha, bali kwenye imani kwa Mungu.
2. Vita na Wafilisti
Daudi alipigana na Wafilisti katika miji kadhaa kama Keila (1 Samweli 23:1-13) na alipokuwa akiwakimbia wafuasi wa Sauli.
Alishinda tena na tena dhidi ya Wafilisti baada ya kuwa mfalme (2 Samweli 5:17-25), akiwapiga sana na kudhoofisha nguvu zao.
3. Vita dhidi ya Sauli
Ingawa Daudi hakutaka kumdhuru Mfalme Sauli, alikimbia mara nyingi kutokana na majaribio ya Sauli ya kumuua kwa wivu na hofu ya kupoteza ufalme.
4. Vita dhidi ya Waamaleki (1 Samweli 30)
Daudi aliwafuata Waamaleki, akawashinda na kuwarudisha watu wake salama pamoja na ngawira.
5. Vita vya Kifalme
Baada ya kuwa mfalme, Daudi aliongoza Israeli katika vita mbalimbali ili kuimarisha na kupanua mipaka ya ufalme. Aliwashinda Wamoabi, Waedomi, Waaramu, na mataifa mengine yanayozunguka Israeli (2 Samweli 8).
6. Vita dhidi ya Absalomu (2 Samweli 15-18)
Absalomu, mwana wa Daudi, alijaribu kumpindua baba yake na kuchukua ufalme. Daudi alilazimika kukimbia Yerusalemu, lakini baadaye jeshi lake lilimshinda Absalomu katika vita,
Hitimisho
Kwa namna huyu mwamba Benjamni Netanyahu alivyokabiliana na Hamas pamoja na Hezbollah wanafadhiliwa na Utawala Iran, ninamuona kama vile ni Mfalme Daudi amekuja kwa sura ya Netanyahu
Mbona Daudi anaelezwa kama ndiye mfalme aliyepigana vita vingi na kuua watu wengi kuliko mfalme yeyote duniani kwa enzi zile? Kwani ndugu unaijua kweli Biblia au unabisha kutoa usingizi alfajiri hiiacha kumfananisha mtumishi wa Mungu Daud na vitu vya ajabu,kipindi cha daud ukimwaga damu isiyo na hatia,ujue na yako lazima imwagike.
Eneo la sodoma na Gomorrah lipo mashariki ya katiLGBT walikuwapo hata wakati wa Nuhu, ndiyo walisababisha Sodoma na Gommorah kuchomwa moto
Dunia tumeshuhudia watemi kama Gengis khan,Alexander the great n.k, Israel wako overlated Sana na historia yao.Mbona Daudi anaelezwa kama ndiye mfalme aliyepigana vita vingi na kuua watu wengi kuliko mfalme yeyote duniani kwa enzi zile? Kwani ndugu unaijua kweli Biblia au unabisha kutoa usingizi alfajiri hii
Mfalme Daudi ni moja ya watu mashuhuri katika Biblia, na vita alivyopigana vinaelezewa hasa katika vitabu vya 1 Samweli, 2 Samweli, na Zaburi. Hapa ni baadhi ya vita muhimu alivyopigana kwa mujibu wa Biblia:
1. Vita dhidi ya Goliathi (1 Samweli 17)
.Akitumia kombeo na mawe matano, alimshinda Goliathi, huku akithibitisha kuwa ushindi hauko kwenye ukubwa au silaha, bali kwenye imani kwa Mungu.
2. Vita na Wafilisti
Daudi alipigana na Wafilisti katika miji kadhaa kama Keila (1 Samweli 23:1-13) na alipokuwa akiwakimbia wafuasi wa Sauli.
Alishinda tena na tena dhidi ya Wafilisti baada ya kuwa mfalme (2 Samweli 5:17-25), akiwapiga sana na kudhoofisha nguvu zao.
3. Vita dhidi ya Sauli
Ingawa Daudi hakutaka kumdhuru Mfalme Sauli, alikimbia mara nyingi kutokana na majaribio ya Sauli ya kumuua kwa wivu na hofu ya kupoteza ufalme.
4. Vita dhidi ya Waamaleki (1 Samweli 30)
Daudi aliwafuata Waamaleki, akawashinda na kuwarudisha watu wake salama pamoja na ngawira.
5. Vita vya Kifalme
Baada ya kuwa mfalme, Daudi aliongoza Israeli katika vita mbalimbali ili kuimarisha na kupanua mipaka ya ufalme. Aliwashinda Wamoabi, Waedomi, Waaramu, na mataifa mengine yanayozunguka Israeli (2 Samweli 8).
6. Vita dhidi ya Absalomu (2 Samweli 15-18)
Absalomu, mwana wa Daudi, alijaribu kumpindua baba yake na kuchukua ufalme. Daudi alilazimika kukimbia Yerusalemu, lakini baadaye jeshi lake lilimshinda Absalomu katika vita,
Hitimisho
Kwa namna huyu mwamba Benjamni Netanyahu alivyokabiliana na Hamas pamoja na Hezbollah wanafadhiliwa na Utawala Iran, ninamuona kama vile ni Mfalme Daudi amekuja kwa sura ya Netanyahu
In addition Netanyahu is a very evil man fighting for Satan's army.David on the other hand was a true servant of God despite his short comings,so you can't compare the two in any way.Hapana, Netanyau anafadhiliwa na Marekani kwa mabilioni ya Dola kifedha na silaha huku akiwashambulia Wapalestina na Walebanoni wasio hata na air defense hata moja huwezi kumfananisha na Mfalme Daudi aliyepambana na Goliath.
zitto junior Mathanzua
Hizo story mnazipataga wapiYes yule kamanda, alifanya daudi astarehe sana kuna vita alikuwa anapgana akisha maliza wanajeshi wakibakia wachache ,ana mwita Daudi amalizie asije onekana yeye ndo kachukua ushindi
Lakini ndio anawashughulikia magaidi bila kupepesa machoNetanyahu ni mjinga sana hotuba zake ni kama vile sio kiongozi wa serikali ni kama katoka tu chumbani kwake mbio mbio kwenda kuongea na watu
In bibleHizo story mnazipataga wapi
Hata hivyo tunacho cha kusimulia watoto au wajukuu zetu, kuwa aliwahi kutokea mwamba kwa jina Benjamin Netanyahu 💪 💪 💪Dunia tumeshuhudia watemi kama Gengis khan,Alexander the great n.k, Israel wako overlated Sana na historia yao.
You too Mathanzua you are fake human based on your argument of fake Jews.In addition Netanyahu is a very evil man fighting for Satan's army.David on the other hand was a true servant of God despite his short comings,so you can't compare the two in any way.
Also note that Israel is a fake nation with Zionists having stolen the identity of true Jews and Netanyahu is one of those Zionists-fake Jews so to say .David again on the other hand was a true Jew.So the two people are incomparable.
Kwani hao Wamerekani unadhani ni Waarabu au Wamatumbi? Ni Wayahudi in Diaspora, ndiyo wana run dunia 🌎 🌍 🌐
Yaani ndo walisema huyo jomba alikuwa anapigana then akikaribia kushinda ndo anamwita boss wake amalizieIn bible
ila hakuwa DaudiLGBT walikuwapo hata wakati wa Nuhu, ndiyo walisababisha Sodoma na Gommorah kuchomwa moto
Daudi hakuua watoto na watu wasio na hatia,hakuruhusu ushoga Nk acheni kukufuru mtapotea.Mfalme Daudi ni moja ya watu mashuhuri katika Biblia, na vita alivyopigana vinaelezewa hasa katika vitabu vya 1 Samweli, 2 Samweli, na Zaburi. Hapa ni baadhi ya vita muhimu alivyopigana kwa mujibu wa Biblia:
1. Vita dhidi ya Goliathi (1 Samweli 17)
.Akitumia kombeo na mawe matano, alimshinda Goliathi, huku akithibitisha kuwa ushindi hauko kwenye ukubwa au silaha, bali kwenye imani kwa Mungu.
2. Vita na Wafilisti
Daudi alipigana na Wafilisti katika miji kadhaa kama Keila (1 Samweli 23:1-13) na alipokuwa akiwakimbia wafuasi wa Sauli.
Alishinda tena na tena dhidi ya Wafilisti baada ya kuwa mfalme (2 Samweli 5:17-25), akiwapiga sana na kudhoofisha nguvu zao.
3. Vita dhidi ya Sauli
Ingawa Daudi hakutaka kumdhuru Mfalme Sauli, alikimbia mara nyingi kutokana na majaribio ya Sauli ya kumuua kwa wivu na hofu ya kupoteza ufalme.
4. Vita dhidi ya Waamaleki (1 Samweli 30)
Daudi aliwafuata Waamaleki, akawashinda na kuwarudisha watu wake salama pamoja na ngawira.
5. Vita vya Kifalme
Baada ya kuwa mfalme, Daudi aliongoza Israeli katika vita mbalimbali ili kuimarisha na kupanua mipaka ya ufalme. Aliwashinda Wamoabi, Waedomi, Waaramu, na mataifa mengine yanayozunguka Israeli (2 Samweli 8).
6. Vita dhidi ya Absalomu (2 Samweli 15-18)
Absalomu, mwana wa Daudi, alijaribu kumpindua baba yake na kuchukua ufalme. Daudi alilazimika kukimbia Yerusalemu, lakini baadaye jeshi lake lilimshinda Absalomu katika vita,
Hitimisho
Kwa namna huyu mwamba Benjamni Netanyahu alivyokabiliana na Hamas pamoja na Hezbollah wanafadhiliwa na Utawala Iran, ninamuona kama vile ni Mfalme Daudi amekuja kwa sura ya Netanyahu
Nyie ndio mnaoabudu watu huyo mwehu kichaa aliyepewa rungu ndio umfananishe na Nabii Daud A.S nyie mnakufuru sana mambo ya kidunia yana wachanganya sana ndio maana kila mwamba anaejivika unabii nyie mnaruka nae mpaka kiboko ya wachawi nyie twende jifunzeni stamala basi mue na imani thabiti juu ya dini yenu mkakubali ichezeweDa
Unahitaji elimu zaidi kuhusu Israel mkuu,hujui kabisa.There are fake Jews ambao wamejiingiza Kwa siri Israel,Jesus Himself talked about this very sema issue.Read Revelation 2:9 and 3:9 below.You too Mathanzua you are fake human based on your argument of fake Jews.
A Jew will remain Jew wherever and whenever he/she is