Y Young fadson JF-Expert Member Joined Nov 6, 2017 Posts 1,177 Reaction score 1,406 Oct 19, 2024 #81 Stuxnet said: Biblia gani ndugu unasoma? Au kinmaanisha yale makaratasi ya Mudi? Click to expand... Sijawahi pata sababu ya kusoma hayo magazeti Kwani hayajawa na impacts kwa uchumi wa mtanzania mmoja mmoja tangu yaletwe Tanzania Pia hayajawahi sababisha tz ikapata mteule wa kuiongoza alietokana na watumiaji wa majitabu yale ingawa wanajinasibu kua na nguvu
Stuxnet said: Biblia gani ndugu unasoma? Au kinmaanisha yale makaratasi ya Mudi? Click to expand... Sijawahi pata sababu ya kusoma hayo magazeti Kwani hayajawa na impacts kwa uchumi wa mtanzania mmoja mmoja tangu yaletwe Tanzania Pia hayajawahi sababisha tz ikapata mteule wa kuiongoza alietokana na watumiaji wa majitabu yale ingawa wanajinasibu kua na nguvu
I Intuition JF-Expert Member Joined Feb 7, 2013 Posts 1,442 Reaction score 4,700 Oct 20, 2024 #82 Ndo maana yule mkongo tapeli kawapiga watu pesa, then karudi Congo anashangaa jinsi aliwezapiga pesa kirahisi tu
Ndo maana yule mkongo tapeli kawapiga watu pesa, then karudi Congo anashangaa jinsi aliwezapiga pesa kirahisi tu