puzo255
Senior Member
- Jul 2, 2024
- 183
- 655
Mkuu unaongea kama umekaa tamaa vile.Aendelee kupiga, dunia si ishakuwa yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaongea kama umekaa tamaa vile.Aendelee kupiga, dunia si ishakuwa yake
Kwa jinsi alivyo na chuki na Wayahudi huo uwezo angekua nao kweli Israel ingeshafutwa kwenye uso wa dunia kitambo sana.Kina vitu vingine vina chekesha
1.Irani kwa ukubwa ni mara 80 ya nchi ya Israel,Hata Mkoa wa Dodoma ni mkubwa mara 2 kuliko Israel.
2.Population ya Taifa la Irani ni mara 10 zaidi ya la Israel.
3.ukija kwenye capability za uwezo wa kijeshi,Irani anapambana na NATO nzima kwenye nyanja hizo.
Sasa wakienda one to one eti Israel ashinde,itakuwa vichekesho vya mwaka.
Huna akili awe na chuki na wayahudi hali ya kuwa ana raia wenye asili ya kiyahudi.Kwa jinsi alivyo na chuki na Wayahudi huo uwezo angekua nao kweli Israel ingeshafutwa kwenye uso wa dunia kitambo sana.
Kiufupi Israel ni kamwili kembamba ila anapiga shoo za kitambi.
Mazayuni bila mabwawa zake USA na Umoja wa Ulaya angeshafutika kwenye ramani feki ya taifa liliobuniwa na wazungu kwa maslahi ya wazungu.Kwa jinsi alivyo na chuki na Wayahudi huo uwezo angekua nao kweli Israel ingeshafutwa kwenye uso wa dunia kitambo sana.
Kiufupi Israel ni kamwili kembamba ila anapiga shoo za kitambi.
Kina vitu vingine vina chekesha
1.Irani kwa ukubwa ni mara 80 ya nchi ya Israel,Hata Mkoa wa Dodoma ni mkubwa mara 2 kuliko Israel.
2.Population ya Taifa la Irani ni mara 10 zaidi ya la Israel.
3.ukija kwenye capability za uwezo wa kijeshi,Irani anapambana na NATO nzima kwenye nyanja hizo.
Sasa wakienda one to one eti Israel ashinde,itakuwa vichekesho vya mwaka.
Atapata milupo tuNasrah yuko peponi muda huu anajitafunia zake bikra 72
Wewe ni mjinga unatia kinyaaJuzi ulikuwa ukituaminisha kwa nguvu zote na kwa ukali eti, mwisho wa Israel ni Hizibolla!
Leo tena ni Iran?
Mnamatatizo gani wenzetu?
Vp wanaotekwa na kuuwawa huko kwenu matumbiSisi tuliofundishwa na Nyerere, kuwa binadamu wote ni sawa na kuwa binadamu wote ni ndugu zangu na Africa ni moja, tunasikitika damu ya mtu yoyote inapomwagika, awe myahudi, mwarabu au mmatumbi.
Ninazidi kusikitika kuona kuwa hawa wanaouwana, wote ni wajukuu wa Ibrahim na wanamwamini Mungu mmoja.
Hapana. Kama unyama ule wa October 7 usingefanyika na Hamas, Waisraeli wangeanza vipi kuivamia Gaza au Lebanon ? Waisraeli wamekubali gharama ya uchumi na vifo. Israeli Ina watu karibu mil 8 tu. Kifo chochote cha raia wake kinawauma sana ila hawana jinsi ila kujitetea. Sababu mwarabu ametangaza kuwafuta katika uso wa dunia.Aendelee kupiga, dunia si ishakuwa yake
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameionya dunia dhidi ya uchokozi, ugaidi na chuki ya kigaidi ya irani kwenye mkutano wa UNGA unaondelea huko New York.
Bwana Netanyahu anasema Iran haipaswi kuwa na nyuklia kamwe kwa kuwa itatumia kuwauwa waarabu ambao sio mashia kama wao na , wayahudi na wakristo duniani kwa kuwa ndio mipango yake .
Amesema ukitupiga tunakupiga hakuna sehemu ndani ya Iran ambayo hatuwezi kufika kwa kuwa irani ndio ilichora shambulio la October 7 liliuwa waisraeli na kuwashikilia kama mateka .
USSR
Usivamie mada usizokua na uwezo nazo kiakili na kifikra.Kwa jinsi alivyo na chuki na Wayahudi huo uwezo angekua nao kweli Israel ingeshafutwa kwenye uso wa dunia kitambo sana.
Kiufupi Israel ni kamwili kembamba ila anapiga shoo za kitambi.
😂😂😂😂😂😂😂 Netanyahu ameshakuwa clown.Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameionya dunia dhidi ya uchokozi, ugaidi na chuki ya kigaidi ya irani kwenye mkutano wa UNGA unaondelea huko New York.
Bwana Netanyahu anasema Iran haipaswi kuwa na nyuklia kamwe kwa kuwa itatumia kuwauwa waarabu ambao sio mashia kama wao na , wayahudi na wakristo duniani kwa kuwa ndio mipango yake .
Amesema ukitupiga tunakupiga hakuna sehemu ndani ya Iran ambayo hatuwezi kufika kwa kuwa irani ndio ilichora shambulio la October 7 liliuwa waisraeli na kuwashikilia kama mateka .
USSR
Ok,sawaHapana. Kama unyama ule wa October 7 usingefanyika na Hamas, Waisraeli wangeanza vipi kuivamia Gaza au Lebanon ? Waisraeli wamekubali gharama ya uchumi na vifo. Israeli Ina watu karibu mil 8 tu. Kifo chochote cha raia wake kinawauma sana ila hawana jinsi ila kujitetea. Sababu mwarabu ametangaza kuwafuta katika uso wa dunia.
Usivamie mada usizokua na uwezo nazo kiakili na kifikra.
Israel kinachomuweka hai hadi sasa ni ngao ya USA,UK na Germany.
Isingekua hao kuingilia kati Israel ingekua ishajifia muda sana.
Oktoba 7 2023 USA na UK walituma manowari za vita zikiwa na askari wasiopungua 2000 na vifaa vya udunguaji makombora na munitions zingie.
Hapo ni Hamas tu kashambulia Isra
Tunapojadili Israeli na Iran, sijui USA, UK, tuwahurumie wanaokufa😂😂😂😂😂😂😂 Netanyahu ameshakuwa clown.
Amekua kichekesho sasa.
*Madai ya Iran kuwaua wasiokua shia hayana mashiko maana waislam wote ndugu,Iran imeshapatana na mataifa mengine ya kiarabu ikiwemo Saudi Arabia na Qatar.
*Iran washavuka urutubishaji wa nuclear kuwa silaha katika kinu chao cha Isfahan,kwahiyo ameshafika stage ya kuunda silaha.Bahati nzuri alishaondolewa vikwazo vya silaha alivyowekewa mwanzo.
*Israel uwezo wa kupigana na Iran hana,labda amvute USA na UK kupigana na Iran,ila yeye hana ubavu.
Na ukiona mtu anakujadili sana ujue anakuogopa.
Israel imekua inamjadili sana Iran kuliko taifa lolote hapo middle east.
Mbona Iran haimzungumzii sana Israel!??
Hizi ni dalili za uoga.
SanaMkuu unaongea kama umekaa tamaa vile.
HakikaMungu mtu anaejiona mtakatifu, sidhani kama anaamini kuwa "kifo" kipo kwa ajili yake pia.
Tunapokataa ubabe na maangamizi ya Israel kwa waarabu, tuone huruma na uchungu kwa vifo vya wasio na hatia. Nenda huko, Gaza na Lebanon uone shida wanazopitia binadamu wenzako utaacha ushabiki. Zile pagers tu watu wameng'olewa macho, mikono nk, bado tunasema USA, UK, Germany. Syria imeanza kupokea wakimbizi toka Lebanon wakati wenyewe Syria wako hoi. Nusu ya wayahudi duniani zaidi mil 8 wanaishi Marekani. Wataachaje kuwaunga kuwasaidia Jews wenzao walioko Israeli. Ikumbukwe Jews walioko Marekani ndio matajiri wa viwanda vya silaha.😂😂😂😂😂😂😂 Netanyahu ameshakuwa clown.
Amekua kichekesho sasa.
*Madai ya Iran kuwaua wasiokua shia hayana mashiko maana waislam wote ndugu,Iran imeshapatana na mataifa mengine ya kiarabu ikiwemo Saudi Arabia na Qatar.
*Iran washavuka urutubishaji wa nuclear kuwa silaha katika kinu chao cha Isfahan,kwahiyo ameshafika stage ya kuunda silaha.Bahati nzuri alishaondolewa vikwazo vya silaha alivyowekewa mwanzo.
*Israel uwezo wa kupigana na Iran hana,labda amvute USA na UK kupigana na Iran,ila yeye hana ubavu.
Na ukiona mtu anakujadili sana ujue anakuogopa.
Israel imekua inamjadili sana Iran kuliko taifa lolote hapo middle east.
Mbona Iran haimzungumzii sana Israel!??
Hizi ni dalili za uoga.
Israel unaijua ina hali gani mkuu!?Tunapokataa ubabe na maangamizi ya Israel kwa waarabu, tuone huruma na uchungu kwa vifo vya wasio na hatia. Nenda huko, Gaza na Lebanon uone shida wanazopitia binadamu wenzako utaacha ushabiki. Zile pagers tu watu wameng'olewa macho, mikono nk, bado tunasema USA, UK, Germany. Syria imeanza kupokea wakimbizi toka Lebanon wakati wenyewe Syria wako hoi. Nusu ya wayahudi duniani zaidi mil 8 wanaishi Marekani. Wataachaje kuwaunga kuwasaidia Jews wenzao walioko Israeli. Ikumbukwe Jews walioko Marekani ndio matajiri wa viwanda vya silaha.