marahabaaa!!!Sawa uncle netanyahu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
marahabaaa!!!Sawa uncle netanyahu
Nikisema wewe hujielewi nitakua nakukosea!??Mkuu,
Hayo ni mawazo yako, nayaheshimu, ila kwangu hizo ni porojo tu kama pumba zingine 🚮
-Kila taifa lina namna yake ya kujitetea, waarabu wametafuta namna hiyo ya kujitetea.Kwani kwenye mataifa mengine hakuna watu wanaoonewa?
Kwanini ugaidi ujikite kwa waarabu na vibaraka wao pekee?
NATUMIA SANA AKILI KULIKO WEWE.Tumia angalau akili kidogo, usikubali kugeuzwa msukule na kukaririshwa propaganda na narratives za uongo kila siku
VIta ni akili, maarifa mbinu na teknolojia, Israel ilikung'uta mataifa mengi ya kiarabu na ndipo Misri, Jordan ziliomba zenyewe ziingie mkataba wa amani na Israel. Kumbuka wakati huo Misri ilikuwa moto kijeshi na Israel ilikuwa ndo kwanza imetoka kufufuka na kuwa taifa tena baada ya miaka ka 2000+- hiviKina vitu vingine vina chekesha
1.Irani kwa ukubwa ni mara 80 ya nchi ya Israel,Hata Mkoa wa Dodoma ni mkubwa mara 2 kuliko Israel.
2.Population ya Taifa la Irani ni mara 10 zaidi ya la Israel.
3.ukija kwenye capability za uwezo wa kijeshi,Irani anapambana na NATO nzima kwenye nyanja hizo.
Sasa wakienda one to one eti Israel ashinde,itakuwa vichekesho vya mwaka.
ThubutuuuuuAache vitisho hata Iran ina uwezo wa kufika popote ndani ya Israel.
Ataendelea tu kama akichokozwa. Usipomchokoza wee tembea kifua mbele wala ana time na wewe.Aendelee kupiga, dunia si ishakuwa yake
Aende ssAache vitisho hata Iran ina uwezo wa kufika popote ndani ya Israel.
Ulikuwa wapi au ban mwanangu, manaake ulipoteza🤣Ataendelea tu kama akichokozwa. Usipomchokoza wee tembea kifua mbele wala ana time na wewe.
Mbona ss katulia ,so aanze ?Kina vitu vingine vina chekesha
1.Irani kwa ukubwa ni mara 80 ya nchi ya Israel,Hata Mkoa wa Dodoma ni mkubwa mara 2 kuliko Israel.
2.Population ya Taifa la Irani ni mara 10 zaidi ya la Israel.
3.ukija kwenye capability za uwezo wa kijeshi,Irani anapambana na NATO nzima kwenye nyanja hizo.
Sasa wakienda one to one eti Israel ashinde,itakuwa vichekesho vya mwaka.
Kuna uwezekano hujui uwezo wa Israel ki uchumi, technology, kivita. Mbona Qatar ni ndogo Sana lakini Ina uwezo mkubwa Sana wa ki uchumi. Singapore hivyo hivyoKina vitu vingine vina chekesha
1.Irani kwa ukubwa ni mara 80 ya nchi ya Israel,Hata Mkoa wa Dodoma ni mkubwa mara 2 kuliko Israel.
2.Population ya Taifa la Irani ni mara 10 zaidi ya la Israel.
3.ukija kwenye capability za uwezo wa kijeshi,Irani anapambana na NATO nzima kwenye nyanja hizo.
Sasa wakienda one to one eti Israel ashinde,itakuwa vichekesho vya mwaka.
Hili kweli taifa teule,sio marekani anachimba biti akiona umejitutumua ananywea...Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameionya dunia dhidi ya uchokozi, ugaidi na chuki ya kigaidi ya irani kwenye mkutano wa UNGA unaondelea huko New York.
Bwana Netanyahu anasema Iran haipaswi kuwa na nyuklia kamwe kwa kuwa itatumia kuwauwa waarabu ambao sio mashia kama wao na , wayahudi na wakristo duniani kwa kuwa ndio mipango yake .
Amesema ukitupiga tunakupiga hakuna sehemu ndani ya Iran ambayo hatuwezi kufika kwa kuwa irani ndio ilichora shambulio la October 7 liliuwa waisraeli na kuwashikilia kama mateka .
USSR
Sawa mkuuAtaendelea tu kama akichokozwa. Usipomchokoza wee tembea kifua mbele wala ana time na wewe.
Sawa atapigaAendelee kupiga, dunia si ishakuwa yake
Atapiga tenaSawa mkuu
Sawa bossAtapiga tena
Nikisomaga comment za namna hi huaga nashangaa sana; sijui kwanini ni kwanini mgogoro wa mashariki ya kati hasa Israeli inapohusishwa watu hutengeneza nadharia ambazo hata hazipo. Taifa la Wayahudi limerudi kua Jamhuri kwa Mara nyingine tena mwaka 1948, Iran imekuwepo miaka na miaka, hadi mwaka 1978 Iran ilikua kibaraka wa USA na mataifa ya magharibi kama ilivo Saudia, Qatar nk; sasa Israeli ambayo ipo since mwaka 1948 wakati Iran ina report USA and his allies inakuaje eti ipo kuidhohofisha Iran? Story za vijiwe vya kahawa zina shida yale wallah.Mazayuni bila mabwawa zake USA na Umoja wa Ulaya angeshafutika kwenye ramani feki ya taifa liliobuniwa na wazungu kwa maslahi ya wazungu.
Wazungu wanailinda Israel kwa gharama kubwa mno kwasababu tu aidhoofishe Iran lakini hilo limeshindikana.
Wamemuwekea kila aina ya vikwazo Iran ili wammalize lakini imeshindikana jamaa ndio kwanza anarutubisha masilaha ya nyuklia yasiyozuilika na defense system yoyote ulimwengu huu.
Kwa jinsi alivyo na chuki na Wayahudi huo uwezo angekua nao kweli Israel ingeshafutwa kwenye uso wa dunia kitambo sana.
Kiufupi Israel ni kamwili kembamba ila anapiga shoo za k
Ukigusa Israel umegusa USA umegusa UK na France wajanja wanajua inatakiwa uwe umejipanga kweli kweliKwa jinsi alivyo na chuki na Wayahudi huo uwezo angekua nao kweli Israel ingeshafutwa kwenye uso wa dunia kitambo sana.
Kiufupi Israel ni kamwili kembamba ila anapiga shoo za kitambi.