Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp wanaotekwa na kuuwawa huko kwenu matumbi
Mtu mwenyewe huyu wakulia US ampe silaha ataweza mziki wa Iran 😄 Anapiga kelele anadhani Carriers za US zitamlinda awaulize leo America Carriers 3 zao zimefanywa nini na Yemen.Aendelee kupiga, dunia si ishakuwa yake
Vita vina gharama, naelewa. Israel alivamiwa 7.10,2023 na Hamas,hata wewe ungekuwa ndiye Netanyahuh ungetumia tone la mwisho kupigana. Baada ya vita na Uganda 1978-1979 uchumi wetu Tanzania, uliyumba mno. Lakini Mwl Nyerere angegafanyaje wakati Kagera, Amin alikwishaitangaza mali yake baada ya kuivamia.Israel unaijua ina hali gani mkuu!?
Mkuu,Netanyahu hawajahi kuwa mpenda siku zote ni mpenda fujo yeye na taifa lao
Ukubwa wa pia sio wingi wa kamasi.Kina vitu vingine vina chekesha
1.Irani kwa ukubwa ni mara 80 ya nchi ya Israel,Hata Mkoa wa Dodoma ni mkubwa mara 2 kuliko Israel.
2.Population ya Taifa la Irani ni mara 10 zaidi ya la Israel.
3.ukija kwenye capability za uwezo wa kijeshi,Irani anapambana na NATO nzima kwenye nyanja hizo.
Sasa wakienda one to one eti Israel ashinde,itakuwa vichekesho vya mwaka.
Umefuatilia kwanini hivyo vikundi viliundwa!??Mkuu,
Tuwe wakweli, hiyo ni sifa ya Iran ambayo ni mhimili wa ugaidi duniani, maana wao ndo walezi, wafadhili na wafundishaji wa vikundi vingi vya magaidi duniani
Mkubwake alifia entebbe wakiwaokoa mateka kipi hajui kuhusu kifoMungu mtu anaejiona mtakatifu, sidhani kama anaamini kuwa "kifo" kipo kwa ajili yake pia.
MadrasaJuzi ulikuwa ukituaminisha kwa nguvu zote na kwa ukali eti, mwisho wa Israel ni Hizibolla!
Leo tena ni Iran?
Mnamatatizo gani wenzetu?
Mkuu,Umefuatilia kwanini hivyo vikundi viliundwa!??
Au unaropoka tu bro!??
Jiulize kabla ya ujio wa Wamagharibi na uanzishwajiwa Zionism state je hayo makundi yalikuwepo!?
*Nikutolee mfano mmoja tu,Yemeni kipindi inataka kumtoa kiongozi wasiompenda Mansour USA alienda kuingilia kati kupitia Saudi Arabia na kumpa jeshi Mansour la kuzuia raia wasimtoe madarakani.
Houthi ndio wakashika silaha na kuingia vitani kumtoa.
Je ingekua USA na Saudi Arabia hawajampa nguvu Mansour za kupingana na raia wasiompenda Houthi wangekua washika silaha!??
Shida yenu muna elimu ndogo juu ya haya mambo.
Chanzo cha haya yote ni Westerners kuingilia siasa za mashariki ya kati.
Syria ilikua nchi moja inakua kiuchumi na imependeza sana kimajengo,nenda kaione sasa hivi.
Na ilianza kuporomoka kuanzia 1958 Damascus crisis,na walioleta hiyo Crisis Israel na USA.
Halafu unakaa kuropoka ropoka.
Itizame Libya ilikuaje kabla ya USA kuivamia.
Niwapongeze magaidi kwa kushushiwa kipigo kizito kikichoshushwa na jeshi shupavu la IsraelBora! Naangalia Al Jazeera mda huu hadi raha. Magaidi yameshushiwa kitu kizito kuliko wakati wote
Ulianza ohhh wavamie Hamas waone Israel ikavamia na kuwatandika barabara ,ukahama ohhh wajaribu kupiga Hezbollah waone cha mtema kuni Israel wanatandika Hezbollah sasa umehama tena ohh wavamie Iran waoneWakawavamie sasa Iran
wacha kudanganywa...ukiona israel haitaki media kwenye hizi mbanga ujue anazuia aibu ya kuchapika,watu wapo kwenye mahandaki sasa kwa sababu wanajua magaidi silaha zao zinafika kokote ndani ya israelIlirusha makombora 300 kati ya hayo 298 yalizuiwa
USSR
Bila shaka ananguvu na anajiona bora zaidi ya huyo mkubwa wake.Mkubwake alifia entebbe wakiwaokoa mateka kipi hajui kuhusu kifo