Benjamin Netanyahu: Ukitupiga tunakupiga, hakuna sehemu ndani ya Iran ambayo hatuwezi kufika

Kwa jinsi alivyo na chuki na Wayahudi huo uwezo angekua nao kweli Israel ingeshafutwa kwenye uso wa dunia kitambo sana.

Kiufupi Israel ni kamwili kembamba ila anapiga shoo za kitambi.
 
Kwa jinsi alivyo na chuki na Wayahudi huo uwezo angekua nao kweli Israel ingeshafutwa kwenye uso wa dunia kitambo sana.

Kiufupi Israel ni kamwili kembamba ila anapiga shoo za kitambi.
Huna akili awe na chuki na wayahudi hali ya kuwa ana raia wenye asili ya kiyahudi.
 
Sisi tuliofundishwa na Nyerere, kuwa binadamu wote ni sawa na kuwa binadamu wote ni ndugu zangu na Africa ni moja, tunasikitika damu ya mtu yoyote inapomwagika, awe myahudi, mwarabu au mmatumbi.

Ninazidi kusikitika kuona kuwa hawa wanaouwana, wote ni wajukuu wa Ibrahim na wanamwamini Mungu mmoja.
 
Kwa jinsi alivyo na chuki na Wayahudi huo uwezo angekua nao kweli Israel ingeshafutwa kwenye uso wa dunia kitambo sana.

Kiufupi Israel ni kamwili kembamba ila anapiga shoo za kitambi.
Mazayuni bila mabwawa zake USA na Umoja wa Ulaya angeshafutika kwenye ramani feki ya taifa liliobuniwa na wazungu kwa maslahi ya wazungu.

Wazungu wanailinda Israel kwa gharama kubwa mno kwasababu tu aidhoofishe Iran lakini hilo limeshindikana.

Wamemuwekea kila aina ya vikwazo Iran ili wammalize lakini imeshindikana jamaa ndio kwanza anarutubisha masilaha ya nyuklia yasiyozuilika na defense system yoyote ulimwengu huu.
 

HIVI VICHEKESHO UNATOA WAPI? NIMECHEKA SANA.🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Vp wanaotekwa na kuuwawa huko kwenu matumbi
 
Aendelee kupiga, dunia si ishakuwa yake
Hapana. Kama unyama ule wa October 7 usingefanyika na Hamas, Waisraeli wangeanza vipi kuivamia Gaza au Lebanon ? Waisraeli wamekubali gharama ya uchumi na vifo. Israeli Ina watu karibu mil 8 tu. Kifo chochote cha raia wake kinawauma sana ila hawana jinsi ila kujitetea. Sababu mwarabu ametangaza kuwafuta katika uso wa dunia.
 
Hawa akina Hamas na akina Hizb ni chanzo tu lakini mlengwa hapo ni Iran.

Lazima mto Frat ukaushwe
 
Kwa jinsi alivyo na chuki na Wayahudi huo uwezo angekua nao kweli Israel ingeshafutwa kwenye uso wa dunia kitambo sana.

Kiufupi Israel ni kamwili kembamba ila anapiga shoo za kitambi.
Usivamie mada usizokua na uwezo nazo kiakili na kifikra.
Israel kinachomuweka hai hadi sasa ni ngao ya USA,UK na Germany.
Isingekua hao kuingilia kati Israel ingekua ishajifia muda sana.
Oktoba 7 2023 USA na UK walituma manowari za vita zikiwa na askari wasiopungua 2000 na vifaa vya udunguaji makombora na munitions zingine.
Hapo ni Hamas tu kashambulia Israel.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Netanyahu ameshakuwa clown.
Amekua kichekesho sasa.
*Madai ya Iran kuwaua wasiokua shia hayana mashiko maana waislam wote ndugu,Iran imeshapatana na mataifa mengine ya kiarabu ikiwemo Saudi Arabia na Qatar.
*Iran washavuka urutubishaji wa nuclear kuwa silaha katika kinu chao cha Isfahan,kwahiyo ameshafika stage ya kuunda silaha.Bahati nzuri alishaondolewa vikwazo vya silaha alivyowekewa mwanzo.
*Israel uwezo wa kupigana na Iran hana,labda amvute USA na UK kupigana na Iran,ila yeye hana ubavu.
Na ukiona mtu anakujadili sana ujue anakuogopa.
Israel imekua inamjadili sana Iran kuliko taifa lolote hapo middle east.
Mbona Iran haimzungumzii sana Israel!??
Hizi ni dalili za uoga.
 
Mnajidanganya sana kwa kuzania Irani na Israel ni maadui.
 
Ok,sawa
 

Tunapojadili Israeli na Iran, sijui USA, UK, tuwahurumie wanaokufa
 
Tunapokataa ubabe na maangamizi ya Israel kwa waarabu, tuone huruma na uchungu kwa vifo vya wasio na hatia. Nenda huko, Gaza na Lebanon uone shida wanazopitia binadamu wenzako utaacha ushabiki. Zile pagers tu watu wameng'olewa macho, mikono nk, bado tunasema USA, UK, Germany. Syria imeanza kupokea wakimbizi toka Lebanon wakati wenyewe Syria wako hoi. Nusu ya wayahudi duniani zaidi mil 8 wanaishi Marekani. Wataachaje kuwaunga kuwasaidia Jews wenzao walioko Israeli. Ikumbukwe Jews walioko Marekani ndio matajiri wa viwanda vya silaha.
 
Israel unaijua ina hali gani mkuu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…