Benjamin Netanyahu: Ukitupiga tunakupiga, hakuna sehemu ndani ya Iran ambayo hatuwezi kufika

Uzuri inanyesha na tunaona wakina Nani wanaolia, Wacha inyeshe.
 
Mkuu,
Hayo ni mawazo yako, nayaheshimu, ila kwangu hizo ni porojo tu kama pumba zingine 🚮
Nikisema wewe hujielewi nitakua nakukosea!??
Kuna porojo gani hapo!?
Kwani kwenye mataifa mengine hakuna watu wanaoonewa?
Kwanini ugaidi ujikite kwa waarabu na vibaraka wao pekee?
-Kila taifa lina namna yake ya kujitetea, waarabu wametafuta namna hiyo ya kujitetea.
Ndio maana nikakwambia kasome Damascus Crisis 1958 wazungu wenyewe wameandika nakala kuhusu hilo wewe ni nani upinge mngoni wa Peramiho!?
-Ulifuatilia uonevu wa Venezuela?
-Ulifuatilia USA alivyoiharibu Bikini Islands!?
-Ulifuatilia uharibifu wa Cuba kiuchumi!?
-Umefuatilia ufadhili wa blood minerals Congo DR!?
-Ulifuatilia ufadhili wa mapinduzi Madagascar kumuondoa Ravalomanana na kumuweka Andy Rajoelina!??
Ndio maana nikakwambia nenda kaitizame middle east kabla na sasa ikoje.
SHIDA HAKUNA UNACHOJUA HALAFU UNASEMA NAKARIRISHWA PROPAGANDA.


Tumia angalau akili kidogo, usikubali kugeuzwa msukule na kukaririshwa propaganda na narratives za uongo kila siku
NATUMIA SANA AKILI KULIKO WEWE.
Huwa muda mwingi natumia kusoma vitabu mbali mbali na kuchambua nakala mbali mbali za siasa ya dunia pale napokua free.
Ndio maana nikikuuliza maswali huwezi kujibu unadakia ni propaganda.
Nakusisitiza nenda kaisome DAMASCUS CRISIS IMEANDIKWA NA HAO HAO WAZUNGU UNAOWASHABIKIA.
 
VIta ni akili, maarifa mbinu na teknolojia, Israel ilikung'uta mataifa mengi ya kiarabu na ndipo Misri, Jordan ziliomba zenyewe ziingie mkataba wa amani na Israel. Kumbuka wakati huo Misri ilikuwa moto kijeshi na Israel ilikuwa ndo kwanza imetoka kufufuka na kuwa taifa tena baada ya miaka ka 2000+- hivi

Uingereza ilitawala robo tatu ya dunia pamoja na udogo wake.

US anaitawala dunia japo kistaarabu pamoja na wingi wa wachina na wahindi Na jamii zingine.
Kwa hiyo udogo wa Israel ni hoja mfu.
Kama Israel imeweza kumuua rais wa Iran, na kiongozi wa Hamas kwa intel, maarifa, akili, teknolojia walizo nazo ndo ishindwe kuipiga Iran?
Iran inahangaika miaka nenda rudi kuishambumbulia Israel kupitia makundi mengi ya kigaidi yaliyopo Lebanon, Syria, Iraq, Yemen, Iran kwenyewe na bado wameishindwa pamoja na usaidizi wa russia, north korea na wengine.
Ahmednajad rais wa Iran alisema ataifuta Iran kwenye uso wa dunia na alishindwa.
 
Mbona ss katulia ,so aanze ?
 
Kuna uwezekano hujui uwezo wa Israel ki uchumi, technology, kivita. Mbona Qatar ni ndogo Sana lakini Ina uwezo mkubwa Sana wa ki uchumi. Singapore hivyo hivyo
 
Hili kweli taifa teule,sio marekani anachimba biti akiona umejitutumua ananywea...
 
Nikisomaga comment za namna hi huaga nashangaa sana; sijui kwanini ni kwanini mgogoro wa mashariki ya kati hasa Israeli inapohusishwa watu hutengeneza nadharia ambazo hata hazipo. Taifa la Wayahudi limerudi kua Jamhuri kwa Mara nyingine tena mwaka 1948, Iran imekuwepo miaka na miaka, hadi mwaka 1978 Iran ilikua kibaraka wa USA na mataifa ya magharibi kama ilivo Saudia, Qatar nk; sasa Israeli ambayo ipo since mwaka 1948 wakati Iran ina report USA and his allies inakuaje eti ipo kuidhohofisha Iran? Story za vijiwe vya kahawa zina shida yale wallah.
 
Kwa jinsi alivyo na chuki na Wayahudi huo uwezo angekua nao kweli Israel ingeshafutwa kwenye uso wa dunia kitambo sana.

Kiufupi Israel ni kamwili kembamba ila anapiga shoo za k

Kwa jinsi alivyo na chuki na Wayahudi huo uwezo angekua nao kweli Israel ingeshafutwa kwenye uso wa dunia kitambo sana.

Kiufupi Israel ni kamwili kembamba ila anapiga shoo za kitambi.
Ukigusa Israel umegusa USA umegusa UK na France wajanja wanajua inatakiwa uwe umejipanga kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…