Benjamin Netanyahu: Ukitupiga tunakupiga, hakuna sehemu ndani ya Iran ambayo hatuwezi kufika

Hebu maguey Allah akufire Wewe umepotea
 
Hao walio Tangaza kuifuta Israel mbona wamesha tangulia labda wajukuu wao.
 
Palestinian ndo Taifa fake, Jerusalem ipo hapo tangu enzi na Hadi utawala WA mwisho wa ottoman baadaye uingereza hakujawahi kuwa na palestina, kwahiyo Jerusalem ambalo ni ya wayahudi ,jenini, Nazareth ni ya wapii? Palestine ni waarabu walowezi tu palee
 
"Umetupiga, tunakupiga tena.
Hakuna mahali unapoweza kujificha kutoka kwetu, tunapokuja kwa ajili yako."
Hii ni dalili tosha ya mambo yajayo.

Roketi za Hezbollah zimewaua Waisraeli 5. Wanapigwa mara kwa mara, uongozi wao wa juu unaondolewa, Israeli inasonga kutoka juu kwenda chini hadi inakamilika kutoka ngazi ya chini.

Shambulio la roketi la Iran lilimuua mmoja, na mtu huyo alikuwa Mpalestina. Kwa hivyo, lipizo la kurudi labda halitakuwa dhidi ya uongozi wa juu wa Irani na watu, lakini juu ya uendelevu wao, miundombinu na tija, kwa ujumla.
 
Tupo live , tatizo huwezi kuwatoa spirit yao iko moyoni ....Wenzio moto ni ule ule .

Just imagine utoke bara la mbali ukapigane kweny ardhi isiyokuwa yako ni utaahiri huo ?
 
Meanwhile wanajeshi wanaisha Israel wanataka kuchukuwa wakimbizi na wahindi huko. Sasa sijui inakuwaje wao hawauliwi wala kuumizwa. Au tuseme wamechoka tu.
 
Hivi bado anabwabwaja tu au anabuy time Mmarekani amsaidie alafu yeye aje ajisifu mbele ya kamera🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Taifa teule linategemea misaada.Kweli wajinga ndo waliwao.
 
Hivi bado anabwabwaja tu au anabuy time Mmarekani amsaidie alafu yeye aje ajisifu mbele ya kamera🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Taifa teule linategemea misaada.Kweli wajinga ndo waliwao.

Asipopata sapoti ya USA kamwe Israel haiwezi kuigusa Iran..

Kupigwa kapigwa yeye lakini anapambana amuingize America kwenye vita. Ila America na yeye anahofia maslahi yake hapo middle east kwani anajua wazi kuwa Iran sio Hamas.

Ikiwa Iran inaweza kuipiga Israel kwa misile zinazopita nchi 3 ili kuifikia Israel vipi hizo American bases zote zilizopo hapo middle east zitapona? America naye sio mjinga anaangalia maslahi yake kwanza kabla ya kujiingiza
 
Israel hamna kitu. Jeuri yake anamtegemea USA. Hata hizo interceptions ya missiles za juzi nyingi ni from USA destroyers.
 
Ina maana wewe hii habari mdiyo imekufikia leo?
 
South Korea imekuwa impressed na performance ya Iron Dome, hakuna skrepa ya Iran iliyopenya, inataka kuzinunua kujikinga na NK


Your browser is not able to display this video.
 
Ayatollah katulia zake kimya hana ngonjera..Myahudi kachapika aache ngonjera na vitisho vingi kama iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…