mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Yes ni ujinga tu kumuuwa mwenzio sababu ya tumbo lako,Hali nawe ni maiti mtarajiwa,
What is the cause of death?Matusi ni dalili ya hasira. Inashangaza na kusiko kusikitisha kwa nini pana wanaokasirika hivi kukitokea msiba.
Yote hii ni kutotaka kushikia ya mabarakoa?
Sawa bwanyenyeKaka tuombeleze msiba kwanza.
View attachment 1515334
Rais Magufuli kwa masikitiko amesema mzee Mkapa amefariki katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar alikokuwa amelazwa.
Mkapa alizaliwa Novemba 12, 1938 na alikuwa Rais wa Tanzania kuanzia 1995 hadi 2005.
Rais Mkapa alikuwa mtoto wa William Matwani na Stephannia Nambanga.
Muda wa Utawala : 23 November 1995 – 21 December 2005
Makamu wa Rais wakati wa Utawala wake: Omar Ali Juma (1995–2001), Ali Mohamed Shein (2001-05)
Mtangulizi: Ali Hassan Mwinyi
Aliyemfuata: Jakaya Kikwete
View attachment 1515344
Ni kosa kubwa sana amefanya Rais Magufuli kutangaza we are Corona free akijua sio kweli. Corona ipo na ina endelea kutushambulia. Tuwe waangalifu Sana. Mikutano hii ya kampeni itatupa majibu vizuri tusubiri coming 10 days. Madaktari acheni unafiki semeni na kusimamia taaluma zenu sio siasa. Semeni with disclaimer.
Mshana hakumànisha mtu aliandika kuhusu Chama tawalaHawa watabiri. Hebu unga hiyo thread hapa maana sikuipitia mkuu.
Wakati tunakaribia uchaguzi wa 2015 alikufa Captain komba ghafla na yeye, uchaguzi wa mwaka huu amefarika Mkapa [emoji26][emoji26] RIP mzee wetu
Mapenzi ya Mungu yatimizwe.
Amin!
Umeniona wapi nimevaa barakoa?
Kila nafsi itaonja mauti ubabe kibri havizuii
Pole nyingi ziende kwa UVCCM
Yan ww aya tu