mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Aisee, hauwezi ukashupaza shingo na kupuuza umuhimu wa mzee Mkapa nchi yetuWee jamaa kishindo kipi kwa nchi? Mnatakiwa mujue kuwa siasa za uongo uongo na kufunika uhalisia zinapoteza uhai wa watanzania kizembe zembe sana na ni aibu kwa nchi. Naendelea kusimama na ubalozi wa Marekani ili nibakie salama tena!
Ume- Generalise sana kama vile unataka kumsafisha mtu fulani!!!!!Hapana
Nimeangalia context ya aliyenijibu
Hebu nitajie rais duniani ambaye utawala wake haukuwahi kuua
Kumbuka hata polisi akiua raia huwa tunamuweka rais as a accountable one
Pia ameondoka kabla hatujabadili Sheria ya kutoshitakiwaMzee Mkapa unaondoka kabla Tundu Lissu hajaapishwa. RIP Mzee
We upo Tanzania kweli? Awamu hii tutabadilisha kila kituHivi wasifu hutolewa siku ya mazishi au wakati wa tangazo la msiba!?
Mimi nimeshupaza na nitaendelea kushupaza.Aisee, hauwezi ukashupaza shingo na kupuuza umuhimu wa mzee Mkapa nchi yetu
Inna lillah wa inna ilahyi rajiun, kweli Mwenyeezi Mungu ni muadilifuView attachment 1515334
Rais Magufuli kwa masikitiko amesema mzee Mkapa amefariki katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar alikokuwa amelazwa.
Mkapa alikuwa Rais wa Tanzania kuanzia 1995 hadi 2005...
Msiba upi huwa ni mdogo?Aiseee msiba mkubwa daah. Rest In Peace
Hakuna aijuae siku wala saa
Asante kwa tag dadangu mpendwa.Drone Camera unalalaje na huku tumefiwa??,