TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Wee jamaa kishindo kipi kwa nchi? Mnatakiwa mujue kuwa siasa za uongo uongo na kufunika uhalisia zinapoteza uhai wa watanzania kizembe zembe sana na ni aibu kwa nchi. Naendelea kusimama na ubalozi wa Marekani ili nibakie salama tena!
Aisee, hauwezi ukashupaza shingo na kupuuza umuhimu wa mzee Mkapa nchi yetu
 
Kwakua kuna tumaini ng'ambo ya kaburi,basi heri walalao katika tumaini la Bwana wetu Yesu Kristo maana atakaporudi mara ya pili atawafufua kwanza ktk miili isiyoharibika tena.

Bwana awafariji familia ya Rais Mkapa ndugu jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wao, pole nyingi sana kwa Taifa na familia ya ndugu Mkapa.
 
Hapana

Nimeangalia context ya aliyenijibu

Hebu nitajie rais duniani ambaye utawala wake haukuwahi kuua

Kumbuka hata polisi akiua raia huwa tunamuweka rais as a accountable one
Ume- Generalise sana kama vile unataka kumsafisha mtu fulani!!!!!
 
Pumzika Salama Mzee Mkapa.Kifo kipo..sote tumeumbiwa na wakati ukifika tutaondoka pia.Mungu ailaze mahali panapostahili Roho yake.Amen.
 
Siyo kolona kweli make wazee wetu wamekuwa exposed sana kipindi hiki

R.i.p
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom