Ccm ni taasisi, haitegemei mtu mmoja kama ilivyo kwa chadema kumtegemea Mbowe pekee!Mwamba wa CCM mbuyu umeondoka sijui CCM itakuwa na Hali gani hasa Zanzibar. Sote tu wapangaji duniani kuna haja gani kuwatesa, kuwatendea mabaya wengine sababu ya tumbo?
Wewe umekariri unachojua mwenyewe hata ukipewa taarifa zozote huwezi kuaminiNdio maana Rais akasema taarifa zaidi mtapewa.
Kwani kila unachokijua huwa kinakusaidia kusikiliza taarifa za habari za china au mataifa mengi huwa vinakusaidia nini? Si kila unachokisikia lazima kikusaidie wewe binafsi wapo wengine vinawasaidiaHata Ukijua itakusaidia nini pia??Unataka uende kuosha mwili wa Marehemu au vipi??
Nikipewa taarifa na mtu kama wewe siwezi kuaamini nikipewa taarifa na source inayoeleweka nitaamini. Wewe Minyoo na minyoo yako toka 2015 tuko wote hapa nakufahamu upo mlengo gani kwahiyo haya mambo unayoyaleta hapa ni kazi yako ambayo unayo toka kipindi hiko wakongwe kama mimi humu wala sikushangai na uzushi wako.Wewe umekariri unachojua mwenyewe hata ukipewa taarifa zozote huwezi kuamini
Wosia wakati mwingine huchakachuliwa inaelekea wewe ni mkapa Mdogo mpe taarifa acha kuficha ficha taarifa kwa visingizio visivyo na mashikoKama ni Mzee wako ndo usubiri sasa utapewa taarifa tatizo lipo wapo??Kwenye Kuzika watu wanasomaga wosia utasomewa na utaambiwa amefariki kwa kitu gani simple like that.
Tumetoka kwa M Mungu na kwake sote tutarejea, Jina la M Mungu lihimidie. Apumzike kwa amani mzee wetuSo sad, Rest In Peace.
Mmoja ni naibu katibu mkuu wizara flani,mwingine ni judge.Tangu lini Mkapa akawa na watoto?
Watoto wa Basil Mramba haoMmoja ni naibu katibu mkuu wizara fulani, mwingine ni judge.
Hao ndio ninaowafahamu.
Anawezaje kupumzika kwa amani wakati kuna mamilioni ya watu aliwaingiza kwenye shida wakati akiwa hai?Pumzika kwa amani mzee wetu.
Upo sahihi mkuuAcha kutafuta Kiki mzee.
Marehem hakuacha mtoto.
Ndo itajulikana Kama ni taasisi au Mali binafsi October.CCM ni taasisi, haitegemei mtu mmoja kama ilivyo kwa chadema kumtegemea Mbowe pekee!