TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Tunawashangaa mnaokanusha taarifa za ukweli. Ndio maana tunasubiri hizo taarifa za kupika v/s za ukweli.
Kila mtu aamini chanzo chake, wewe na wenzio aminini hivyo vyanzo vyenu na sisi wengine tutaamini vyanzo vyetu hatuhitaji mtuaminishe kwamba yatakayosemwa ni kweli ama uongo maana tushakubali hivyo vyanzo kwetu ndo sahihi kama nyie mlivoamini vyanzo vyenu mnavovijua.
 
That is true!! Huwa wakati mwingine sisi waswahili tunakuwa wanafiki; unakuta mtu anakufa akiwa na miaka 💯+ eti ndugu wanalia!! Badala ya kumshukuru Mungu kwa upendeleo wa kumpa umri huo, tena inatakiwa ifanyike sherehe kubwa watu wale wafurahi.

Biblia inasema umri wa mtu ni miaka 70 na akiwa na nguvu sana ni miaka 80. Ukivuka hapo mimi huita bonus au miaka ya upendeleo. Mkapa alikuwa ameshavuka 80 hongera zake na waliovuka tayari.

Sisi tuliobaki tutafika huko? Mungu tusaidie. Sasa kwenye historia ndio huwa Kimbembe!
 
Dah kweli! hivi kuna ka ukweli eti ndiye aliye muuingiza Jiwe ikulu kuokoa jahazi pale chamwino
 
Kwani mwenye Kisukari hatembei?mwenye ukimwi hatembei?mwenye TB hatembei? Lissu alipigwa risasi alikua hawezi kutembea alikua ni wakitandani kwahiyo stage aliyofikia yakutembea ni dalili kuwa ameanza kupona janga lilimkumba.
Wewe ni daktari wake kuweza kujua ameanza kupona?
 
Pole kubwa kwa mh Rais, nahisi he is deeply hurt by this death of Hon. Mkapa
May his soul rest well
 
85+yrs.. life well lived bro
Rest Easy Ben
Mkapa hana miaka hiyo. Ila miaka 80 bado. Mwinyi ana tisini na ngapi sijui lakini bado yupo vizuri kila sikubyupo nDodoma kwenye shughuli za Magufuli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…