Daaah . . . so sad.
Kwangu mimi nitamkumbuka kama mmoja wa wahariri bora wa habari za kiuchunguzi wakati ule akiwa pamoja na mwandishi mwenzie (Nsa Kaisi ambaye naye ni marehemu) kwenye gazeti la the nationalist (kama sijakosea). Alihariri story moja mpaka Nyerere akaukubali mzigo kwa jinsi ulivyosimama...
Hawa ndio wale majamaa wa kujipendekeza.Maherufi makubwa ya nini sasa? Unatugombeza? Na huyo Magufuri ndo nani? Usiharibu majina ya watu..shubaaaamit
Unataman nani nae aandikeReginald Mengi aliandika kitabu akazindua akatangulia, Ben ameandika kitabu akazingua akatandulia....hitimisho ni nini?
Ameishi miaka 10 ya upendeleoThat is true!! Huwa wakati mwingine sisi waswahili tunakuwa wanafiki; unakuta mtu anakufa akiwa na miaka [emoji817]+ eti ndugu wanalia!! Badala ya kumshukuru Mungu kwa upendeleo wa kumpa umri huo, tena inatakiwa ifanyike sherehe kubwa watu wale wafurahi.
Biblia inasema umri wa mtu ni miaka 70 na akiwa na nguvu sana ni miaka 80. Ukivuka hapo mimi huita bonus au miaka ya upendeleo. Mkapa alikuwa ameshavuka 80 hongera zake na waliovuka tayari.
Sisi tuliobaki tutafika huko? Mungu tusaidie. Sasa kwenye historia ndio huwa Kimbembe!
Asamehewe nini, kipi alikosea,mbona mwapenda jihesabia haki?Kwani alikuwa na mchango gani kwa umoja wa nchi hii, mpaka useme kuondoka kwake kunaweza kuwa tatizo la umoja wa nchi hii? Yeye aliamua kuishi kama MwanaCCM, na hajawahi kujali umoja zaidi ya kuhakikisha CCM ndio inakuwa nchi.
Tuache sifa za uongo kwa watu wasiostahili sifa hizo, eti kisa wamefariki.
Ni kweli amefariki kama binadamu wengine, tunamuombea asemehewe kama anastahili. Lakini hakuwa na jipya lolote ambalo kuondoka kwake watanzania wote watalikosa.
Asamehewe nini, kipi alikosea,mbona mwapenda jihesabia haki?
Friends of Magufuli inaundwa na watu wangapi?Tutakukumbuka daima Mzee Mkapa, Pumzika kwa amani Rais Wetu Mstaafu wa awamu ya III Mh. Benjamin William Mkapa.View attachment 1519722
Friends of Magufuli inaundwa na watu wangapi?
TusubiriWatu wameanza kushuku juu ya kifo hiki na hasa ukizingatia yajayo hayafurahishi...
Watu wameanza kushuku juu ya kifo hiki na hasa ukizingatia yajayo hayafurahishi...