Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Wewe umeweza kwenye maisha yako kumtendea kila mmoja wema mkuu?Hatari kabisa, ukisikia comments za Wapemba huko ni hatari. Kweli ni vyema kutendea watu mema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeweza kwenye maisha yako kumtendea kila mmoja wema mkuu?Hatari kabisa, ukisikia comments za Wapemba huko ni hatari. Kweli ni vyema kutendea watu mema.
Mmeanza tuletee hizo coment tuone
Tusivamie vyombo vya habari tukiwa na Askari wenye silaha za kivita.Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
Tuishi vizuri na watu...
Wewe ni mjinga mmoja!Wanasema we are a Corona free country.
Wanaotusifia kwenye hilo kina nyani ngabu wenyewe wamevaa barakoa.
Tumekuwa kama ma guinea pigs wa kushehenishia takwimu.
Wewe umeweza kwenye maisha yako kumtendea kila mmoja wema mkuu?
ExactlyTulio baki tuendekee kutenda mema ,dunia hii sisi niwapitajiView attachment 1515322
Kumbe unajua kwamba huko inabidi tuombeane ili tupumzike kwenye peaceR.I.P President Mkapa.
Utabiri wa kubahatisha as a matter of coincidence!
Shida ipo maana unadhani basi wema ukitendwa kwa watu hawatakuwepo wa kukusema vibaya.Mimi sijaweza wala sintoweza, ila wale waliokuwa wahanga wataweka wazi kilichowapata. Kuna shida kwenye hilo?
Mungu anasamehemePepo ipi umesahau Yale aliyowafanyia wa Zanzibar mwaka 2001 January 27 kule pemba