TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Hatari kabisa, ukisikia comments za Wapemba huko ni hatari. Kweli ni vyema kutendea watu mema.
Wewe umeweza kwenye maisha yako kumtendea kila mmoja wema mkuu?
 
Wanasema we are a Corona free country.

Wanaotusifia kwenye hilo kina nyani ngabu wenyewe wamevaa barakoa.

Tumekuwa kama ma guinea pigs wa kushehenishia takwimu.
Wewe ni mjinga mmoja!

Vi thread vyako kuhusu corona badaa ya kuona hakuna anaekufuatilia umeachana navyo na sijui ulikuwa unafaidika nini
 
Ohhhh!

nimesikitika na nimeshituka sana!

Mkapa! Mkapa! mbona umetuacha ghafla hivyo? Nimeumia Moyo, ni msiba wetu sote watanzania kumpoteza Rais wetu mstaafu.
apumzike kwa amani
 
Mimi sijaweza wala sintoweza, ila wale waliokuwa wahanga wataweka wazi kilichowapata. Kuna shida kwenye hilo?
Shida ipo maana unadhani basi wema ukitendwa kwa watu hawatakuwepo wa kukusema vibaya.

Ilihali unajua fika hata Mungu ainyeshapo mvua kuna mama mjamzito anatembea kwenda hospitalini pasipokuwa na mwamvuli.

Salaam.
 
Wazee waachwe wapumzike nyumbani..tuwaepushe na mikusanyiko. PUMZIKA BENJAMIN
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom