TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Pumzika kwa amani mzee wetu wa Ukweli na UWazi.
 
Mzee wetu huyu alikuwa na afya njema kabisa , Mungu ndiye anayejua fumbo la kifo , japo kama binadamu tunaweza tu kuchukua hatua za kujilinda ikiwemo kuwazuia wazee wenye umri mkubwa kushiriki kwenye misongamano hasa wakati kama huu , kwa namna hii tunaweza kupunguza uwezekano wa vifo hasa vya wazee
 
Tunaweza poteza viongozi wengi sana kwa namna hii..
Mzee wetu huyu alikuwa na afya njema kabisa , Mungu ndiye anayejua fumbo la kifo , japo kama binadamu tunaweza tu kuchukua hatua za kujilinda ikiwemo kuwazuia wazee wenye umri mkubwa kushiriki kwenye misongamano hasa wakati kama huu , kwa namna hii tunaweza kupunguza uwezekano wa vifo hasa vya wazee
 
RIP mzee wetu Wasalime Ruge, Dr Reginald Mengi na Ali Mufuruki!! I hope sio ugonjwa wa matatizo ya kupumua🙏🙏
 
Mzee wetu huyu alikuwa na afya njema kabisa , Mungu ndiye anayejua fumbo la kifo , japo kama binadamu tunaweza tu kuchukua hatua za kujilinda ikiwemo kuwazuia wazee wenye umri mkubwa kushiriki kwenye misongamano hasa wakati kama huu , kwa namna hii tunaweza kupunguza uwezekano wa vifo hasa vya wazee
Ulijuaje Kama alikuwa na afya njema tele ?
 
Bila kusahau pia alikuwa waziri wa Mambo ya nje.

May his memory always be a blessing
 
Matokeo Kama haya huwa Yana tufanya tuwe waoga na kutoa kauli kama sisi Ni wapita njia na akili zetu hutukaa vizuri tu. Lakini msiba ukiisha tunarudi kulekule kukomoana,kuchukiana,kuuana kuona wengine takataka kabisa najaribu kuwaza kw sauta kwamba huu woga Ni wakinafiki? Au Nani katuroga?
 
Hayo yamesemwa na rais John Magufuli leo tarehe 24 July 2020 saa 0025

Habari kamili kuwajia hivi punde
Mungu ampokee katika pumziko la amani milele. Katika uhai wake nitamkumbuka kwa kuleta heshima kwa wafanyakazi; aliimarisha vema uchumi kupitia kukusanya kodi hivyo wafanyabiashara wakaingizwa kwenye wajibu waliokuwa hawakuuzoea na wafanyakazi wakaanza kuthaminika katika jamii tofauti na ilivyokuwa kwa utawala uliomtangulia.

RIP Hon. Benjamin William Mkapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom