Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hujaguswa?Pole kwa walioguswa na msiba
Apumzike kwa amani
Mzee wetu huyu alikuwa na afya njema kabisa , Mungu ndiye anayejua fumbo la kifo , japo kama binadamu tunaweza tu kuchukua hatua za kujilinda ikiwemo kuwazuia wazee wenye umri mkubwa kushiriki kwenye misongamano hasa wakati kama huu , kwa namna hii tunaweza kupunguza uwezekano wa vifo hasa vya wazee
Mungu amweke mahali pema peponi, hakika alikuwa Kiongozi wa mfano na wa kuigwa.View attachment 1515334
Rais Magufuli kwa masikitiko amesema mzee Mkapa amefariki katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar alikokuwa amelazwa...
jitahidi uvisome mapema,maana uchaguzi huu lazima vyuma vilikeBado nilikuwa sijaanza kusoma kitabu cha Mzee Mengi sasa tena kimekuja cha Mkapa nina homework kubwa....
Corona imefanya yake si walitangaza corona imekwishaTutakukumbuka sana wazanzibar hasa ktktokeo la January 27 mwaka 2001
Ulijuaje Kama alikuwa na afya njema tele ?Mzee wetu huyu alikuwa na afya njema kabisa , Mungu ndiye anayejua fumbo la kifo , japo kama binadamu tunaweza tu kuchukua hatua za kujilinda ikiwemo kuwazuia wazee wenye umri mkubwa kushiriki kwenye misongamano hasa wakati kama huu , kwa namna hii tunaweza kupunguza uwezekano wa vifo hasa vya wazee
Mungu ampokee katika pumziko la amani milele. Katika uhai wake nitamkumbuka kwa kuleta heshima kwa wafanyakazi; aliimarisha vema uchumi kupitia kukusanya kodi hivyo wafanyabiashara wakaingizwa kwenye wajibu waliokuwa hawakuuzoea na wafanyakazi wakaanza kuthaminika katika jamii tofauti na ilivyokuwa kwa utawala uliomtangulia.Hayo yamesemwa na rais John Magufuli leo tarehe 24 July 2020 saa 0025
Habari kamili kuwajia hivi punde
Hii pole inaweza pia ikawa inamuhusu na alietoa tangazo la kifo, ili awe na chakujifunza.Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
Tuishi vizuri na watu...
Sisi Malofa tunamtakia pumziko la milele.Acheni Mungu aitwe Mungu
mapenzi yake yatimizwe amen