TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Poleni Watanzania wote. Poleni sana, ila pale Dodoma nini kilitokea!?
 
Innalillah Wainna ilayh Raajiun
Ooh Rest in Eternal Peace
Big BEN
Che Mkapa
Che Munna
 
Binadamu hata ufanyaje mwisho siku lazima utakufa na dini moja huko india wao wanaamini ukifa utaziwa tena ila wanasema matendo yako yataamua utaziliwa nini baadaye.
 
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa alifariki jana hospitalini Dar es Salaam. Rais John Magufuli ametangaza rasmi. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi



379232_607c89332e0880bd8f68cdf639228a4e.png
 
Kwakuwa kuishi ni Kristo, kufa ni faida. Pumzika kwa amani mzee wetu mchango wako kwa taifa utakumbukwa
 
Wee jamaa kishindo kipi kwa nchi? Mnatakiwa mujue kuwa siasa za uongo uongo na kufunika uhalisia zinapoteza uhai wa watanzania kizembe zembe sana na ni aibu kwa nchi. Naendelea kusimama na ubalozi wa Marekani ili nibakie salama tena!
Sasa si uhamie huko kabisa.?
 
Viongozi na ma Rais wa nje wata hudhuria kweli kama walivyo hudhuria kwa Baba wa taifa?

Mungu ni Mungu daima kwake tutarejea!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom