Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaMuombee kheri bana binadamu wote tuna mapungufu
Unahakika ? Nadhani ni JD au Jameson. R.I.P.Ninachokumbuka aliniita Lofa pale viwanja vya jangwani.
Sasa si uhamie huko kabisa.?Wee jamaa kishindo kipi kwa nchi? Mnatakiwa mujue kuwa siasa za uongo uongo na kufunika uhalisia zinapoteza uhai wa watanzania kizembe zembe sana na ni aibu kwa nchi. Naendelea kusimama na ubalozi wa Marekani ili nibakie salama tena!
Siyo Membe tena?Mtu pekee aliyekuwa ndani ya CCM aliyeweza kukosoa Magufuli hadharani... Rest easy Mzee Mkapa