Kwani Barclays ipo mpaka leo hapa Tanzania?, si' nasikia imesitisha huduma zake?
Kwa mwezi unakatwa sh. ngapi ya makato?
Shukrani leontiff, mpaka sasa hivi tumeshapata majibu ya benki tatu, PBZ bank, Amana bank na Barclays bank.*2500tsh kama makato tofaut na wengine wana 3660 na hadi elfu10
*600tsh makato kwenye Atms na tofaut na wengine mpka1000 per transaction
Watakuja tu wenye taarifa za DTB, halafu watatuambia kama ni kweli kuna hiyo account ambayo haina makato kwa mwezi na VISA/master card juu.nilipata kusikia kuwa DTB wanayo ambayo haina makato na unapata kadi ya Visa/Mastercard pia
*inawezekana kuwaomba NMB wakubadilishie iwe VISA au master card?Tuanze kuchambua hyo chap chap account
*Wacharge sms alert kwa almost 300tsh
*Debit card yao sio Visa&mastercard
*Transaction charges ziko juu almost 900 per transaction
*gharama zilizojificha ni nyingi so operational yake ni kwenye nmb atms tuu
*Transaction limit per day
Duh!baclays wana makato ya ajabu mno,akaunti ya usd uwa wanakata hadi usd 12 kwa mwezi!nenda BARCLAY'S BANK monthly maintenance fee ni ndogo na kutoa hela kwenye Atms ni 600 tofaut na mwengine wanakata 800
Barclays makato yao hayaeleweki,na ukiwauliza wanakupa maelezo mengi ambayo hata hayaeleweki!Una account Barclays?, account ya aina gani?
Mbona nasikia hao Barclays wana makato makubwa kwa mwezi?
Mambo kama haya watu hawayadadavui..ila ikiletwa mada ya mapenz,saivi uzi ungekuwa wa page kama 100..
Natumia crdb makato yake sio mchezo,si kushauri sana kuitumia
*Sidhani kama ni kweli unachongea kwa upande wa customer care wako vzuri alafu mzee angalia dollar account bank zingine wanakata shilling ngap kikubwa ni wewe uwe mkweli tuuBarclays makato yao hayaeleweki,na ukiwauliza wanakupa maelezo mengi ambayo hata hayaeleweki!
Nmb kwa account za chap chap,hawakati kitu
Unatumia account ya aina gani?Mambo kama haya watu hawayadadavui..ila ikiletwa mada ya mapenz,saivi uzi ungekuwa wa page kama 100..
Natumia crdb makato yake sio mchezo,si kushauri sana kuitumia
Benki huwa inakuwa na account nyingi, mteja ni chaguo lako uchague ipi, kuna za kawaida(hizi makato yake ni ya kawaida, na ndizo ambazo nataka nijue kila benki wanakate kwa mwezi), za wanafunzi(hizi makato yake yapoje sijui), za USD(hizi makato yake makubwa) na nyingine nyingi.Duh!baclays wana makato ya ajabu mno,akaunti ya usd uwa wanakata hadi usd 12 kwa mwezi!
Ninatumia Current Account, haina charge yoyote kwa mwezi, hela ulivoiweka ndo utakavoikutaUnatumia account ya aina gani?
Kwa wewe unachajiwa sh. ngapi kwa mwezi as a service charge?
Inategemea na account uliyofungua, kila account ina makato yake, ukienda kufungua account waambie nataka kufungua aacount ambayo makato yake ni madogo kuliko account zote.Barclays makato yao hayaeleweki,na ukiwauliza wanakupa maelezo mengi ambayo hata hayaeleweki!
Monthly fee ndogo ni kiasi gani? Tusaidie tuijue na sisi.nenda BARCLAY'S BANK monthly maintenance fee ni ndogo na kutoa hela kwenye Atms ni 600 tofaut na mwengine wanakata 800