Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Kwenye mitandao ya Sim wanakata ukiuliza salioNaelewa ugumu unaoupata. Na ndio ukweli huo. Hakuna benki rafiki nchi hii. Benki zinapokata hela mteja kwa kuulizia salio kwenye ATM, au internet banking, ni benki hizo tena? Ni genge la wezi tu wenye leseni za BOT. Hebu fikiria makampuni ya simu yaanze kukata muda wa maongezi ama data kila unapoulizia salio!
Kwenye mitandao ya Sim wanakata ukiuliza salio
Labda wanaotumia app Kama m-pesa app au tigo-pesa app
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Efatha Benk.BoT waliamka nayo siku moja ikawekwa lockdown.
Mbali na Bank M kuna Meru Bank na Twiga bank.
Kinachosikitisha ni fidia waliopewa wenye amana kutoka kwa kampuni ya bima.
Barclays bank ipo na iko imara na hakuna bank imara Tanzania kama barclays bank
Inategemea na account uliyofungua, kila account ina makato yake, ukienda kufungua account waambie nataka kufungua aacount ambayo makato yake ni madogo kuliko account zote.
Uzuri wa Barclays unapokea fedha kutoka paypal na unazitoa kabisa kwenye ATM, benki nyingine hazina hiyo huduma, ni Barclays peke yake nchi nzima ndiyo mwenye hiyo kitu.
Are you sure unachokiongea 80% of Banking transactions hivi ulichokiandika umekisoma vzurithats a global bank, inajiendesha sana sana na mtaji wake kutoka nje but CRDB controls over 80% of all the banking transactions in tanzania plus a subsidiary in BURUNDI, though sio bank inaomilikiwa na tanzania,
EQUITY BANK haikati chochote kwa mwezi na makato yake ni madogo sana, kwa mfano ukitoa tsh 30K utakatwa tsh 750, but ni kwa wale mawakala wa mtaani ukitoa ATM utajuta
Are you sure unachokiongea 80% of Banking transactions hivi ulichokiandika umekisoma vzuri
Are you sure unachokiongea 80% of Banking transactions hivi ulichokiandika umekisoma vzuri
Angalia huduma wewe, achana na gharamaNisirembe sana, kichwa cha habari kinajitosheleza.
Karibu.
Hujui chochote kuhusu Banking sector kwa last year CRDB ilikuwa ya pili angalia Bank kama stanchart ana branch4 tuu lakini katengeneza 38bln shilings na wewe una branch zaidi ya 150 umetengeneza 112bln sasa kwenye ROI nani ana competitive advantageand kuongezea pia apo, its the most profitable bank in tanzania
NimeelewaSiongelei salio la hela. salio la hela ndio wizi huo. naongelea salio la muda wa maongezi ama data kwa jili ya internet.
Hivi stanchart ana matawi manne tu nchi nzima?!Hujui chochote kuhusu Banking sector kwa last year CRDB ilikuwa ya pili angalia Bank kama stanchart ana branch4 tuu lakini katengeneza 38bln shilings na wewe una branch zaidi ya 150 umetengeneza 112bln sasa kwenye ROI nani ana competitive advantage View attachment 1453665
Hivi inakubalika kuweka pesa kiasi cha Millioni 100 kwani mtandao wa Simu ?Mitandao ya simu ni kama bank nzuri haina makato kabisa ya mwezi, sema kivumbi kinakuja wakati wa kutoa hiyo sent!
Mitandao ya simu Risk ni kubwaa sana ya kupoteza hela na kwa mtu mwenye hela na anajua maana ya hela huwezi kuweka savings zako labda 10M kwenye simu that will be ridiculous and very RiskHivi inakubalika kuweka pesa kiasi cha Millioni 100 kwani mtandao wa Simu ?
Nilisikia kama vile mwisho M 10.
Sina uhakika lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi natumia mitandao ya simu kutoa pesa za matumizi ya kawaida.Mitandao ya simu ni kama bank nzuri haina makato kabisa ya mwezi, sema kivumbi kinakuja wakati wa kutoa hiyo sent!
NdiyoHivi stanchart ana matawi manne tu nchi nzima?!
Duh!Ndiyo