MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Acha Ushabiki Maandazi Kama Haujui Mambo Kaakimya,
dunia inanchi 195 ebu weka nchi ambazo zimepiga kura kulaani urusi kuvamia ukrein?
arafu kama vikwazo urusi ishawekewa sana na mara zote madhara yanakuwa makubwa kwa mabeberu wa nato;
urusi haitishiki na vikwazo inajitosheleza kwa kila kitu na ukumbuke kuwa dunia inaiitaji urusi zaidi, tangu vita ianze mafuta na gess yamepanda kwa %60 inchi za ulaya na hali inazidi kuwa mbaya;
marekani juzi kanunua mafuta lita milion 90 kutoka urusi arafu wewe unakuja na habari sijui umezitoa wap?
Sasa wewe ndiye usiye na ushabiki? Mnachekesha sana Warusi wa kwa Mpalange, kuna video zinazunguka mitandaoni masheikh wanajifanya kuchambua huu ugomvi utadhani Putin amekua mtume.
Hayo mafuta ya Mrusi sio kwamba anagawa bure, na yeye pia anafaidi kwenye biashara, hivyo haimaanishi avute mapumbu ya dunia kisa anayo mafuta, lazima asemwe akfanya upumbavu na vikwazo vya wakati huu sio vya kawaida, anaendelea kubinywa, Warusi wameanza kumchukia Putin balaa, fuatilia mitandao yao au sehemu wanakochangia haswa Quora.