Benki kubwa ya Urusi yaaga soko la bara Uropa na kufunga matawi yote huko


Sasa wewe ndiye usiye na ushabiki? Mnachekesha sana Warusi wa kwa Mpalange, kuna video zinazunguka mitandaoni masheikh wanajifanya kuchambua huu ugomvi utadhani Putin amekua mtume.

Hayo mafuta ya Mrusi sio kwamba anagawa bure, na yeye pia anafaidi kwenye biashara, hivyo haimaanishi avute mapumbu ya dunia kisa anayo mafuta, lazima asemwe akfanya upumbavu na vikwazo vya wakati huu sio vya kawaida, anaendelea kubinywa, Warusi wameanza kumchukia Putin balaa, fuatilia mitandao yao au sehemu wanakochangia haswa Quora.
 
Wewe swaga ng'ombe 🐮 upelekee tajiri akauze mnadani Kibaigwa hakuna unachokifahamu kwenye maswala haya.

Hujui Russia mwenyewe analia na vikwazo alivyowekewa hadi Ruble imeshapoteza asilimia 30 ya thamani yake, Lavrov alishindwa kusafiri kwenda nchi za nje kwa sababu atapita anga gani.
Bei za bidhaa mbalimbali zimeshapanda nchini Russia na zaidi ya watu 5,000 wako ndani kwa kuandamana kupinga uvamizi na maandamano zaidi yanaandaliwa nchini kote. Wewe unaingilia ubishi usioujua eti kwa kufuata tu mkumbo.
 
Mimi ni shabiki wa.US na fansi wao kindakindaki lkn likikija suala vita ,huwa siungqni nao kabisaa!! Marekani amepigana Vita vingi kwa maslahi ya watu wake it's ok,Tanzania tulimpiga Amin kwa maslahi ya watu wetu it's ok,like wise russian anampiga Ukraine kwa maslahi ya watu wake it's ok too!!!. Tuache unafiki .
 
Sasa kama ulikuwa na GOVI ukatahiriwa buure kwa pesa ya marekani na bado ukapewa na net dhidi ya mbu wakakutengenezea na virusi vya ukimwi bado wakakuletea na AntiRetroviral drugs (Protease Inhibitor and Transcriptase Inhibitor) kwanini usiwaone mungu?
 
Utateseka sana na pesa za korona ndo kwa kheri kunyen sana nasema kunyen sana
Achana naye huyo kakatwa Govi kwa msaada wa US
 
Kwa hiyo wewe Russia unayemuona Mungu yeye kakufanyia nini.
 
Hizo exchange rates ni za nyuma, leo hii 1 US$ = 130 Rubles na kabla ya uvamizi ilikuwa 1 US$ = 76 Rubles na bado sarafu ya Russia inazidi kupoteza thamani na labda itasoma 1 US$ = 1,000 Ruble ndani ya siku 60 zijazo.

Benki kuu ya Russia imezuia mabenki kuuza fedha za kigeni ili kujaribu kuokoa jahazi na soko la hisa la Moscow tayari limeshafungwa huku maandamano ya kupinga vita yakizidi kushika kasi na leo Al Jazeera News imetangaza kwamba zaidi ya waandamanaji 14,000 wametiwa nguvuni kote nchini Russia.

Putin amewambia askari wake watumie nguvu kubwa sana ili watu wa Ukraine wawe na hofu na waweze kusalimu amri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…