Benki kubwa ya Urusi yasitisha miamala ya hela ya China - hali mbaya

Hiyo ni kwanchi zote hata usa [emoji631]
 
Bora umemuambia, Trump alimpiga sunctions China hatosahau
 
Vp ukraine kichapo kimefikia wapi?
Uliza Urusi vita iko mwezi wa nne sasa muulize kulikoni? Alitamba kuwa ndani ya saa 72 atakuwa kuchukua mji mkuu wa Kyiv na kumuondoa Zelensnkyy madarakani .Hadi leo Vipi masaa 72 hayajaisha ?
 
Uliza Urusi vita iko mwezi wa nne sasa muulize kulikoni? Alitamba kuwa ndani ya saa 72 atakuwa kuchukua mji mkuu wa Kyiv na kumuondoa Zelensnkyy madarakani .Hadi leo Vipi masaa 72 hayajaisha ?
Mwambie ukraine aache kulialia na kuomba backup ya nje,atulie mwenyewe kwenye battle field kama hata izo 72hrs atatoboa...
 
Mwambie ukraine aache kulialia na kuomba backup ya nje,atulie mwenyewe kwenye battle field kama hata izo 72hrs atatoboa...
Binadamu huwezi kosa michango ya majirani ya harusi au misiba yandugu na well wishers
Ukraine mtu wa watu social ulitaka asichangiwe na ndugu na marafiki?

Russia ni gate kali self contained hahitaji jirani au yeyote. Duniani maisha sio self contained life Putin bwege
 
Ha ha ha!! Ona mnavyojiliwaza, sasa hapo umesahihisha nini haswa kwa kusema benki wanashirikiana na China kurekebisha, hayo ni matamko ya kidiplomasia tu, ila sote tunaona kinachotendeka.
Urusi wenu anaendelea kuangukia pua.
Sikujua we nawe unamihemko mpaka unakua hamnazo,ssa ndio umeandika nn kujidefend tujue umeelewa hku mada umeipotosha.ovyooo
 
Sikujua we nawe unamihemko mpaka unakua hamnazo,ssa ndio umeandika nn kujidefend tujue umeelewa hku mada umeipotosha.ovyooo

Ndio umesema nini sasa maana kama umekurupuka hata haujui nini kinajadiliwa humu...
 
Ni suala la mda tu,
Urusi itakuwa kama Zimbabwe .
 
Fuvu kujaa mayonize badala ya ubongo ndo matokeo yake haya
 
Ha ha ha!! Ona mnavyojiliwaza, sasa hapo umesahihisha nini haswa kwa kusema benki wanashirikiana na China kurekebisha, hayo ni matamko ya kidiplomasia tu, ila sote tunaona kinachotendeka.
Urusi wenu anaendelea kuangukia pua.
Ataishiwa pumzi kabisa
 
Chinese President Xi Jinping’s government has called Russia its “most important strategic partner” and criticized sanctions on Moscow. But Chinese companies and banks appear to be complying with trade and financial restrictions.
😂😂
Huku ndo kunaitwa 'kung'ata na kupuliza..'
Putin atulize kalio dawa izame!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…