Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Serikali ni sikivu, tunachukua maoni yako!
Nimecheka eti serikali ni sikivu. Hebu waulize waseme zile hela walizopora kwenye Bureau de change walizipeleka wapi?
Serikali ni sikivu, tunachukua maoni yako!
kihuni na dharau , wao hufikiri sisi ni binadamu wa tatu baada yao kwa hiyo wanatuzidi akiliWachina wanafanya biashara kihuni sana dawa ni kuwadhibiti kisheria
Sitamsamehe Magu kwa hili.Nimecheka eti serikali ni sikivu. Hebu waulize waseme zile hela walizopora kwenye Bureau de change walizipeleka wapi?
Exim bank ni miongoni mwa benki kubwa hapa nchini ,nadhani bado haijafikia huko ,hata kipindi cha covid 19 ndio benki ya kwanza kutoa loan repayment holiday kwa wateja wanaotokana kwenye zile sector ambozo ziliathirika sanaExim Bank nayo itupiwe jicho.
Exim Bank na wao wanaisoma namba ya baba yako Magufuli.Exim Bank nayo itupiwe jicho.
Tatizo mzunguko wa fedha upo chiniBenki kuu ya Tanzania leo imechukua usimamizi wa Benki ya kibiashara ya China kwa kushindwa kulinda vigezo vya kuendeleza kuwepo ikiwemo mtaji. Benki kuu kwa mamlaka iliyonayo kwenye sheria ya mabenki na taasisi za fedha imechukua uongozi wa benki hiyo kutoka leo tarehe 19 Novemba 2020 kwa kumteua Neema Koka kuwa meneja kwenye benki hiyo.
Pia kulingana na sheria benki ya China haitafungua ofisi kwa ajili ya biashara za kila siku kwa siku zisizozidi tisini.
View attachment 1629824
Duh umetisha mkuu 😂😂😂Ukiona mbwa anajiuma mkia wake, huyo ana kichaa
Ukiona hao jamaa wameshindwa juwa tupo kwenye ICUKwa wachina sawa hao jamaa janja janja nyingi sana.
Inavyofunga matawi na kupunguza wafanyakazi je?Exim bank ni miongoni mwa benki kubwa hapa nchini ,nadhani bado haijafikia huko ,hata kipindi cha covid 19 ndio benki ya kwanza kutoa loan repayment holiday kwa wateja wanaotokana kwenye zile sector ambozo ziliathirika sana
How come?Benki kuu ya Tanzania leo imechukua usimamizi wa Benki ya kibiashara ya China kwa kushindwa kulinda vigezo vya kuendeleza kuwepo ikiwemo mtaji. Benki kuu kwa mamlaka iliyonayo kwenye sheria ya mabenki na taasisi za fedha imechukua uongozi wa benki hiyo kutoka leo tarehe 19 Novemba 2020 kwa kumteua Neema Koka kuwa meneja kwenye benki hiyo.
Pia kulingana na sheria benki ya China haitafungua ofisi kwa ajili ya biashara za kila siku kwa siku zisizozidi tisini.
View attachment 1629824
Bwashee kwani wewe serikali!Serikali ni sikivu, tunachukua maoni yako!
Nadhani ni dalili ya ukuaji uchumi, tutembee kifua mbere.
Ngoja tu,mwisho hatabenki yetu kuu tutaiweka chini ya uangalizi,sasa sijui atakaye kuwa mwangalizi wake.Nimecheka eti serikali ni sikivu. Hebu waulize waseme zile hela walizopora kwenye Bureau de change walizipeleka wapi?
I like your signature mkuu!... viko kadhaa vya aina hiyo; huwezi kujua ni benki. Kwa mfano kuna kamoja kako pale Manzese, ghorofa la kushoto just before daraja la waenda kwa miguu kama unaelekea Ubungo, kanaitwa Letshego Bank. Jina lake sijui ni muunganiko wa Let-she-go yaani hata halieleweki!