Benki Kuu (BoT) yachukua usimamizi wa Benki ya China kwa kushindwa kulinda vigezo

Aha! Ndio unajengwa hivyo?
Benki hiyo ni ya matapeli; na kuna uwezekano mkubwa imetumika kutakatisha fedha za wenye nchi.
Ndio, lazima hayo yatokee ili kujenga uchumi wa wa kweli nchini
Kujenga uchumi imara sio lelemama
 
I like your signature mkuu!
... hayo sio manemno nyangu Mkuu bali ya Mohamed bin Salman - Crown Prince of the Kingdom of Saudi Arabia; the next (if God wishes) Custodian of the Two Holiest Mosques.
 
... viko kadhaa vya aina hiyo; huwezi kujua ni benki. Kwa mfano kuna kamoja kako pale Manzese, ghorofa la kushoto just before daraja la waenda kwa miguu kama unaelekea Ubungo, kanaitwa Letshego Bank. Jina lake sijui ni muunganiko wa Let-she-go yaani hata halieleweki!
Letshego ni neno la Kisetswana likimaanisha kifaa kinachoshikilia kitu/vitu, mfano wake ni mafiga matatu yanavyoshikilia sufuria
I like your signature mkuu!

😁😁😁nimerudi kuiangalia hahaha dudus

"Arguing with a woman is like reading the software license agreement. In the end you have to ignore everything and click I agree." - MBS
 
... viko kadhaa vya aina hiyo; huwezi kujua ni benki. Kwa mfano kuna kamoja kako pale Manzese, ghorofa la kushoto just before daraja la waenda kwa miguu kama unaelekea Ubungo, kanaitwa Letshego Bank. Jina lake sijui ni muunganiko wa Let-she-go yaani hata halieleweki!
Hiyo sio benki ndogo ina matawi dar nzima hilo la manzese ni moja tu ya matawi yake
 
Letshego ni neno la Kisetswana likimaanisha kifaa kinachoshikilia kitu/vitu, mfano wake ni mafiga matatu yanavyoshikilia sufuria

😁😁😁nimerudi kuiangalia hahaha dudus

"Arguing with a woman is like reading the software license agreement. In the end you have to ignore everything and click I agree." - MBS
... wamiliki wa hiyo benki ni waTswana? Anyway, mama D you are a woman, arguing with you, in the end I will "click" I agree. Let me end here.
Read my signature for details.
 
Wamiliki wanatoka nchi tofauti ila Botswana ndio headquarter

Click I agree😂😂😂😂
 
Hiyo sio benki ndogo ina matawi dar nzima hilo la manzese ni moja tu ya matawi yake
Kuna kampuni mbili za letshego
Kuna Letshego Tanzania Ltd, hii ni microfinance imekua kwenye operation kwa miaka zaidi ya 10 sasa halafu kuna hii Letshego bank
 
Kifua mbere saa hizi yuko kwa Ras Simba anajifunza kimalkia Safari ya Uholanzi imeiva
Maskini muone huyu! Amka toka usingizini muda ni hazina! Unawaza ujinga kuanzia utotoni Hadi leo mavuzi na ndevu vimenza kugeuka mvi, shtuka unazeeka!
 
Back
Top Bottom