Benki Kuu (BoT) yachukua usimamizi wa Benki ya China kwa kushindwa kulinda vigezo

Kwa wachina sawa hao jamaa janja janja nyingi sana.
 
Tatizo mzunguko wa fedha upo chini
 
Iunganishwe na Exim Bank hiyo Bank ilikuwa haihangaiki kutafuta local custumers wala kujitangaza ilikuwa inategemea tu chinese companies tu nadhani
 
Exim bank ni miongoni mwa benki kubwa hapa nchini ,nadhani bado haijafikia huko ,hata kipindi cha covid 19 ndio benki ya kwanza kutoa loan repayment holiday kwa wateja wanaotokana kwenye zile sector ambozo ziliathirika sana
Inavyofunga matawi na kupunguza wafanyakazi je?
 
How come?
China Commercial Bank under receivership?
Ni sawa na kusema serikali ya China imefilisika!
 
Tumeambiwa wachina ndio rafiki zetu wa kweli😁😁😁!
China hana urafiki na mtu,anachojali yeye ni kupiga pesa tu!Mtoane roho ni juu yenu,yeye na pesa!
 
Nimecheka eti serikali ni sikivu. Hebu waulize waseme zile hela walizopora kwenye Bureau de change walizipeleka wapi?
Ngoja tu,mwisho hatabenki yetu kuu tutaiweka chini ya uangalizi,sasa sijui atakaye kuwa mwangalizi wake.
 
Kuna siku tutaamka na taarifa kuwa Tigo pesa na ndugu zake kina Halopesa, M Pesa kuwa zimefungiwa pia Wallahi naapa.
 
I like your signature mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…