Benki Kuu (BoT) yachukua usimamizi wa Benki ya China kwa kushindwa kulinda vigezo

Lets he go
 
tunaipa hongera benk yetu kuu kwa hatua hizi madhubuti za kulinda uchumi wetu.hongera gavana na BOT kwa kuwa macho kulinda pesa za watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kadudu kengine pia kanajulikana kama Yetu bank... siuji mpaka leo kanafanya nini.
kwa sheria iliyopo ujue ana ukwasi wa mtaji.ukiletaa mazegere tu mtaji ukayumba will lead to take over kusudi usije ukawa una chukua mpunga wa wateja hata ikitokea karisk fulan ukashindwa kuka cover

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…