Benki kuu inasemaje kuhusu utaratibu wa kuchangia vyama?

Utakatishaji fedha kwa biashara gani haramu iliyofanyika? Au kwa wizi gani uliofanyika? Watu wamechanga hadharani na mkitaka statements mtapewa.

Jinga kweli.
kwani kuchanga hadharani ndio inaondoa dhambi ya kutakatisha fedha?
 
Mbona hivi karibuni umoja wa watu wenye ulemavu walimchangia ela mwenyekiti ma fisiem ili achukue fomu ya kuwania urais!?

Hilo hukuliona wala kulisikia!? Punguza kiherehere
Hata wao watafuatiliwa...kwani nimesema wawe excluded?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…