Benki kuu inasemaje kuhusu utaratibu wa kuchangia vyama?

Benki kuu inasemaje kuhusu utaratibu wa kuchangia vyama?

Ili kuondoa uwezekano wa kufanyika kwa utakatishaji fedha je Benki kuu imeweka utaratibu gani wa vyama kuchangiwa?
Swali muhimu sana hili,wahuni hawakawii kupitia kwenye michango kama hii.

macson
 
Wakumbushe pia michango misibani, kwenye maharusi na majumuiko ya hiari na hata kwenye viingilio mbalimbali nako pia kunaweza kutakatisha. Na waweke sheria ya namna ya kutumia pesa.

Hata kwene michango yote ya majanga kama MAFURIKO, MV BUKOBA, MV UKEREWE, MLIPUKO WA TANKER LA MAFUTA MOROGORO etc, etc....!
 
Kuna utakatishaji kuzidi ule wa 1.5 trillion?
 
Ili kuondoa uwezekano wa kufanyika kwa utakatishaji fedha je Benki kuu imeweka utaratibu gani wa vyama kuchangiwa?
?????
IMG-20200311-WA0005.jpeg


Don't make a promise you can't fulfill...
 
Ili kuondoa uwezekano wa kufanyika kwa utakatishaji fedha je Benki kuu imeweka utaratibu gani wa vyama kuchangiwa?
Niwazi swali lako linahusu manunuzi ya akina Mashinji kwani huo ndiyo utakatishaji fedha haramu.
 
Back
Top Bottom