Benki kuu inasemaje kuhusu utaratibu wa kuchangia vyama?

Benki kuu inasemaje kuhusu utaratibu wa kuchangia vyama?

Sasa hofu yako ya nini mbwa wewe,tuliza mshono!Kiasi chochote kitakachochangwa ndio hicho hicho!Subiri mrejesho hiyo kesho,shubaamiti!
Asubuhi sio mbali...naomba mrejesho wa michango aliowahi kuikusanya Msigwa.
 
Hawajaridhika na hukumu ya leo kwa ujumla wao. Inaelekea walitamani hukumu ya kufungwa maisha au kunyongwa hadi kufa.
cc jingalao
naona mmeweka account number ya M4C ile ile iliyotafuna fedha bila ripoti
 
Hivi ukiwa jinga lao na akili yako inakuwa ime feli kabisa?

Hapo kuna biashara ipi inafanyika?
Ili kuondoa uwezekano wa kufanyika kwa utakatishaji fedha je Benki kuu imeweka utaratibu gani wa vyama kuchangiwa?

No one knows tomorrow.
 
Hadi sasa watanzania mamilioni wapo foreni kwa mawakala wanatuma hizo fedha kwa kila mtu na uwezo wake ili mjue kuwa hampendwi
naongelea fedha za M4C kuna anayejua mrejesho?

No one knows tomorrow.
 
Ili kuondoa uwezekano wa kufanyika kwa utakatishaji fedha je Benki kuu imeweka utaratibu gani wa vyama kuchangiwa?

Acha Benki kuu, ongea hata na World Bank Bado tutaendelea kuchanga. Na hata mkizuia kwa wivu, tutapeleka hizo hela kwenye ofisi za chadema. Kama mnachafua demokrasia na kutumia madaraka kuziagiza mahakama kutekeleza mnachotaka, basi mmechemsha.
 
Duh....naona ile kamati ya roho mbaya ipo kazini!
 
Mbona hivi karibuni umoja wa watu wenye ulemavu walimchangia ela mwenyekiti ma fisiem ili achukue fomu ya kuwania urais!?

Hilo hukuliona wala kulisikia!? Punguza kiherehere
Hata UWT wamesema watatoa 1m kwa ajili ya form ya mgombea urais!
 
Back
Top Bottom