LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Utasikia wanapeleka sheria marufuku kuchangia.ccm wamekuwa ka wanyama
Wakala wa shetani kazini.Ili kuondoa uwezekano wa kufanyika kwa utakatishaji fedha je Benki kuu imeweka utaratibu gani wa vyama kuchangiwa?
Hata kifo ni mpango wa mungu, acha falsafa za kifara za huko migombani.Wachawi mmeanza acheni unafiki watanzania wanajua dhuluma zenu mlojua nunua yenu basis mmenunua na mioyo ya watanzania acha tuchange naona mnatokwa na mishipa sasa Leo ndio nimejua chadema ni mpango wa mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili kuondoa uwezekano wa kufanyika kwa utakatishaji fedha je Benki kuu imeweka utaratibu gani wa vyama kuchangiwa?
Yaani nyie nadhani hata shetani huwa anakaa mdomo wazi kuwashangaa! Mioyo michafu hivyo mnaitowa wapi maana hata level hiyo hajafikia?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa maslahi ya Tanzania
Nimechangia 500,000/= na isipotoshea ntachanga tena.
Mtakufa nacho kijiba cha roho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asubuhi haipo mbali mjomba
Ili kuondoa uwezekano wa kufanyika kwa utakatishaji fedha je Benki kuu imeweka utaratibu gani wa vyama kuchangiwa?
Abarikiwe Sanaa[emoji108][emoji3577][emoji350][emoji120]Ubarikiwe sana kiongozi
No one knows tomorrow.
Mchawi huyooo[emoji120][emoji1787][emoji126]walidhan watanzania hawatachanga[emoji120][emoji350][emoji3577][emoji108][emoji1732]Siku zote Mchawi huwa hajifichi mbele ya wenye Macho ya Rohoni na yaliyobarikiwa vyema kabisa na Mwenyezi Mungu.
Hahahaha jamaa wanachekeshaa[emoji1787]mie nimerusha elfu 20 haraka Sanaa[emoji108][emoji3577][emoji350][emoji120][emoji120][emoji350][emoji350][emoji350]Utakatishaji fedha kwa biashara gani haramu iliyofanyika? Au kwa wizi gani uliofanyika? Watu wamechanga hadharani na mkitaka statements mtapewa.
Jinga kweli.
Wakumbushe pia michango misibani, kwenye maharusi na majumuiko ya hiari na hata kwenye viingilio mbalimbali nako pia kunaweza kutakatisha. Na waweke sheria ya namna ya kutumia pesa.Ili kuondoa uwezekano wa kufanyika kwa utakatishaji fedha je Benki kuu imeweka utaratibu gani wa vyama kuchangiwa?
Ofisi ya kazi gani;inner hana hata tax Moja Amazon hana storeUfipa hamna hela...changieni ujenzi wa ofisi
Hivi kumbe mnajua kabisa UMMA unaoinga udhalimu na dhuruma... [emoji135][emoji135]Ili kuondoa uwezekano wa kufanyika kwa utakatishaji fedha je Benki kuu imeweka utaratibu gani wa vyama kuchangiwa?
Kutakatisha/money laundering unaelewa maana yake...?kwani kuchanga hadharani ndio inaondoa dhambi ya kutakatisha fedha?