johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bei gani gani😅Watulipe tu wananchi kila mtu sasa
Kwa hiyo sisi tufanyaje?Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha.
Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi.
Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya sekondari umbwe mkoani Kilimanjaro.
Source: ITV habari
hua napenda jinsi serikali inavyo tumia 'miezi 6' kwenye kuhakikishia jambo wananchiNaibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha.
Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi.
Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya sekondari umbwe mkoani Kilimanjaro.
Source: ITV habari
Sema tu sawa lakini ingetokea kwa wake marais wengine ndo wamekata kamba wakiwa madarakani...!! Nahisi huko BOT kungekuwa kweupe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambavu zake. Huu msemo umekaririwa toka enzi zilipendwa za MagufuliNaibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha.
Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi.
Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya sekondari umbwe mkoani Kilimanjaro.
Source: ITV habari
Ni bora ukusanye kwa kubembeleza. Hata matumizi ya hizo kodi yanaishia tu kuumiza wananchi.Mungu aendelee kumuhifadhi JPM mahari pema peponi katuachia hela ya kutosha Bank kwa juhudu zake za kukusanya kodi...ngoja tuone huyu anaeona kodi ni jambo la kubembeleza wakati kodi si swala la hiyari ...ni jambo la lazima ndo maana hata Mungu hakuingilia kabisa maswala ya kodi kwani Yesu alishindwa kusema msilipe kodi au mkajadiliane na kaisari kulipa kodi
Mafuta ya kula tu yanatuyumbisha..!Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha.
Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi.
Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya sekondari umbwe mkoani Kilimanjaro.
Source: ITV habari
Ndugu kwa nchi za Kiafrica ukifanya hvyo jua huwezi kulipa mishahara watumishi wa umma haya hawa wengine wanakubali je wanajeshi watakubali ?? Swala la kodi hakuna sehemu yeyote ambayo kodi inakusanywa kwa kubembeleza nitajie nchi moja tu .. wenzetu tena wana sheria kali za kodi tena ni fedhea kwa wenzetu ukijulikana umekwepa kodi lakini huku wakwepa kodi wanaonekana wajanja .Ni bora ukusanye kwa kubembeleza. Hata matumizi ya hizo kodi yanaishia tu kuumiza wananchi.
Kuwe na ukusanyaji mdogo na matumizi yasimamiwe vzr ndio unaweza kutumia nguvu kukusanya hela nyingi.
Ni kada mtiifu wa ccmMambo makubwa kama hayo anenda kuyasema kwenye mahafali ya shule kweli?
Huyo naibu gavana zinamtosha kweli?